Timu ya Lowassa yabadilisha staili

Timu ya Lowassa yabadilisha staili

BREAKING NEWS...

Kutoka ofisi ya mwenyekiti wa shughuli za nje za Bunge,

Napenda kutoa habari mpya kwa MARAFIKI wote wa Edward Ngoyai Lowassa.

Siku iliyosubiriwa kwa miaka imewadia, baada ya makundi mbali mbali kufuata agizo la Mhe rais Jakaya Kikwete alilolitoa siku ya sherehe za chama mkoani Ruvuma, na kumshawishi kwa hali na mali siku ya Mhe Lowassa. Ameshawishika na sasa anawatangazia wana safari ya matumaini wote kwamba,

Siku ya tarehe 16/05/2015. (humanizing) atatangaza nia ya kugombea urais wa awamu ya tano wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivyo anawaomba watu wote wenye mapenzi mema na Nchi yao wajitokeze kumuunga mkono pale uwanja wa Shekh Amri Abed Arusha.

Tuwajulisheni WADAU wote wa safari ya matumaini,
Imetoka kwa,
Ndug. Aboubakar Liongo,
Ofisi ya Edward N. Lowassa,
Mwenge, Dar es salaam.
cc: lizaboni, faizafoxy
 
Tulishasema zamani..lowassa rais.penda usipenda..lia ucheke...kaa uchi vaa Nguo..lowassa rais do mtu yeyote akija na mawazo tofauti juu ya mpakwa mafuta wetu tutakushambulia tu
 
Tulishasema zamani..lowassa rais.penda usipenda..lia ucheke...kaa uchi vaa Nguo..lowassa rais do mtu yeyote akija na mawazo tofauti juu ya mpakwa mafuta wetu tutakushambulia tu

Hapo kwenye blue ni mafuta gani kapakwa Vaseline au Rays ???????????????????
 
Gwallo wewe punga..unatafuta mabwana..sisi tulikatazwa hiyo michezo unayotaka.nenda mombasa
 
Hii habari huenda ni ya kweli kabisa.Kuna form imeandaliwa na the so called Friend of Lowassa,binafsi nimeiona,ambayo inapita katika chuo kimoja hapa Dodoma na walio tayari kwenda Monduli wanajaza majina yao,namba za simu na sahihi zao kama watu wanaomuunga mkono Lowassa na kwa mujibu wa wanaotembeza form hiyo ni kwamba,kutakuwa na usafiri wa kuwapeleka mpaka Monduli na kuwarudisha wale wote watakaokuwa wameandika majina na ambao wako tayari kwenda.

Tukio hilo nasikia lilikuwa lifanyike Jumamosi iliyopita ila limesogezwa mbele mpaka Jumamosi ya wiki hii.

Kwa wenye kumbukumbu,wiki iliopita nilipost uzi hapa nikiwauliza wakazi wa Monduli watupe taarifa kama kuna dalili yoyote ile ya tukio kama hilo kufanyika.

Huyu Jamaa na uraisi si bure bila shaka kuna kitu zaidi ya uraisi.
 
Hilo gazeti la Raia Tanzania halina tofauti na udaku special ... Mwacheni Lowassa apumzike! ... Wananchi wanataka huduma yake maana amethibitisha kuwa ni yeye pekee mwenye uwezo wa kumwajibisha yeyote wakati wowote mahala popote kama ameshindwa kudeliver! Lowassa pekee ndo mwenye uwezo wa kuondoa tatizo la ajira hapa nchini, lowassa Pekee ndo mwenye uwezo wa kufuta mikataba ya kishenzi, Lowassa Pekee ndo mwenye uwezo wa kutekeleza miradi mikubwa kama ile ya KASHWASA, UDOM, Shule za kata ... Chini ya Lowassa tatizo la maji safi na salama Dar litakwisha, Miundo mbinu itaboreshwa ili kuzuia mafuriko... Hao wapiga deals wajiandae kukimbia nchi ... Mmemsingizia upuuzi mwingi sana LAKIN Watanzania wa leo si wajinga tena! Wanaona wanajua nani ninani na yupi atawafaa ...
Hahahaaaa! Kweli wewe wasema!
 
Back
Top Bottom