Timu ya kwanza kuwafunga Real Madrid kutoka England

Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,344
10,218
Nelson F.C. yenye makao yake huko mjini Nelson, Lancashire, England iliyoanzishwa mwaka 1882 ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kutoka Uingereza kuipiga klabu ya Real Madrid F.C. huko kwao Uhispania.

Ilikua ni kipindi cha pre-season, basi Nelson F.C. wakajipigia 4 - 2 mnamo mwaka 1923. Haikuishia hapo walijipigia tena Real Oviedo kwa ushindi wa goli 2 - 1.

Safari yao kwenda Spain ilikua nzuri lakini safari yao ktk ligi za England imeishia pabaya ukifananisha na wenzake aliowapiga miaka hiyo.

Kipindi hicho anampiga Real Madrid alikuwa Second Division ambayo kwa sasa tunaijua kama Championship ila leo hii yupo ligi za chini kabisa nchini Uingereza (North West Counties League Division One North) huku Real Madrid akiwa ligi kuu nchini Spain na makombe kibao ya UEFA Champions League.

nelson-1922-23-400.jpg
 
De limma alikuwa hatari,kuna ile style yake ya kujitangulizia mpira,noma sana aisee
Bonge la goli, bonge la gemu.

Huyu th14 alikuwa hatari saana!

Kwangu baada ya de lima huyu ndio alikuwa mshambuliaji wangu bora namba 2.


Sent using Jamii Forums mobile app

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Back
Top Bottom