Timu ya kampeni ya Bernard Membe hii hapa


Mkuu Ocampo,umetoa analysis nzuri na yenye mshindo kwa wafuatiliaji...Mkuu Pasco,it's my hope kwamba EL anaweza kutuvusha kuelekea kwenye nuru hasa ukiwapitia mtia nia mmoja mmoja.
Wengi wameshindwa kupambanua wanachokikusudia na wengine wamejikita kwenye kueleza masuala ya kichama badala ya kuuangalia umma wa wa-tz.
 
Hakuna mwenye sifa za kuwa Rais wa nchi hii ndani ya CCM.!!!
Hili nimekutananalo wakati jamaa mmoja akimueleza mwenzie kuwa kutafuta mwadilifu ndani ya CCM ni sawa na kutafuta Mwanamwali/ bikra ndani ya wodi ya Wajawazito.........Nimeshangaa na kusikitika sanaaaaa...........!!!
 
Ccm msimpomsimamisha membe kura yngu inaenda upinzani.Membe ndo jembe hakuna mwngne.
 
All in aĺl ccm ndio itatoa rais.wengine ni wasindikizaji tu
 
yote kwa yote kura yangu ni ukawa. kutegemea mabadiliko ccm ni sawa na kusubiri meli uwanja wa ndege.
 
Waswahili wa pwani,wameproove failure katika uongozi wa nchi hii,sasa ni zamu ya wabara tuone kama nao wanaweza leta ya maana kw maendeleo ya taifa hili, sasa zamu ya wabara
 
ninafanya kazi rhino cement. naweza sema ridhiwani hana uhusiano na rhino cement otherwise u prove me wrong
 
Kwa maana hiyo tunaendelea na Kikwete kwa mgongo wa nyuma tukimchagua Membe. Huyu jamaa akishinda nahamia Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…