Hapa ndo umeeleweka!NB: Haya ni maoni yangu 🙂
Wote wamekiwasha msimu huu upo sahihiSema kitu mkuu 🙂
Timu ya watoto wa 2000, cityzenHata mimi ni Man city mkuu, ila hizo ndio tano bora.
Tumepambana sana, tulikuw unga unga sana, hakuna ambye angetarajia tungemaliza top 4.mkuu ko sisi mabigwa wa konfelensi hujaguswa hata kdgo kutuweka hapo!!?
Sisi tuna makombe yote ya UEFA..Naaaam na tuna UEFA!
😀 kwahio mkajidekeza muende Conference ili muingie kwenye records.
Kombe la mikutano?mkuu ko sisi mabigwa wa konfelensi hujaguswa hata kdgo kutuweka hapo!!?