tulia wewe upewe ubingwa na huyo mnaemuita msukuleZitaje hizo timu 68..Mikia bhana kipindi kile mlikuwa misukule ya Manara chochote anachosema mnamuamini siku hizi yupo tumbo chochote atakachokiongea na yeye mnamuamini mna matope kichwan na sio akili
Mimi Mtibwa Sugar aisee..mashabiki wa simba mna mahaba na MO mpaka mmeshaanza kumuiga lifestyle yake yeye anajiita MO29 wewe unajiita MO11...tulia wewe upewe ubingwa na huyo mnaemuita msukule
dahh yaani wewe dishi limeyumbaMimi Mtibwa Sugar aisee..mashabiki wa simba mna mahaba na MO mpaka mmeshaanza kumuiga lifestyle yake yeye anajiita MO29 wewe unajiita MO11...
Usijifiche kwenye kivuli cha mtibwa ,Tanzania hii either uwe Simba au utopoloMimi Mtibwa Sugar aisee..mashabiki wa simba mna mahaba na MO mpaka mmeshaanza kumuiga lifestyle yake yeye anajiita MO29 wewe unajiita MO11...
Tunaomba tutajie kwa majina bosiHizi sio zandani wala nn
Hizi zipo wazi kama vazi la kahaba
Bwana Eze Kamwaga anatuambia timu nyingi sana kutoka kila pembe ya Afrika wanagombania nafasi ya kushiriki simba day timu kubwa kubwa kuanzia zenye makombe nane ya Afrika mpaka kajamba nani huko wanagombea fursa adimu ya kuonekana duniani kucheza kwa Mkapa na Wana Lunyasa pira biriani pira drafti
wakali wa hizi kazi
Sasa sisi tunasema kama wanagombania kucheza na Mnyama tuwaundie mashindano wiki ya Mnyama mkali kisha mshindi aje acheze na wana Lunyasi maana watapata wanachostahili
Ile video ya watu kugombania jersey ya simba imeenda mbali mpaka Frorentino Perez ameuliza hawa wanatokea nchi gani nataka game ya kirafiki Simba day ya msimu ujao
Kuna level hapo na standard kubwa sana kati yetu na Misukule
Unaambiwa mtu kakamua jezi wakati anafua kasikia kelele
Kaikung'uta imeanguka misukule saba kasema anarogwa
ooohh
Tukutane kwa mkapa na jezi yako tarehe 19 mapema tu saa mbili kasoro
Huelewi chochote ndio maana mpaka leo mnaambiwa morrison ni mchezaji wenuHakuna timu ata moja ambayo imewahi kuchukua kikombe Cha Afrika itakuja kucheza Simba day achana na habari za vikombe zaidi ya kimoja. Simba Haina uwezo wa kugharamia timu yoyote Afrika iliyopo katika top 7 ije dar kucheza Simba day. Labda vita maana wapo kibiashara zaidi Ila timuzote kubwa schedule yao ya msimu mpya uwa imeandaliwa miezi kumi kabla.
Tangu 2004 hatujawi kualika hizo akinaEti kati ya timu hizo ni Beira FC ya kigogo Dar es Salaam, Mbagala Fc ya Dar es Salaam , Msoga FC ya Pwani , Kigamboni Fc ya Dar esSalaam . Nyingine nimezisahau.
Simba supper cup yalikua matako yako hukuiona TP mazembeHakuna timu ata moja ambayo imewahi kuchukua kikombe Cha Afrika itakuja kucheza Simba day achana na habari za vikombe zaidi ya kimoja. Simba Haina uwezo wa kugharamia timu yoyote Afrika iliyopo katika top 7 ije dar kucheza Simba day. Labda vita maana wapo kibiashara zaidi Ila timuzote kubwa schedule yao ya msimu mpya uwa imeandaliwa miezi kumi kabla.
Hiyo taarifa umeipata kwa nani? Moo au Babra? Tuanzie hapa kwanza. Maana nyinyi mbumbumbu fc kila mnacho ambiwa na Moo mnaamini tu!Mengi sana
nitajaza server bure hapa
wewe usiwe jinga zimeuzwa jezi milioni moja yanga mmepwa milioni 45 tuHiyo taarifa umeipata kwa nani? Moo au Babra? Tuanzie hapa kwanza. Maana nyinyi mbumbumbu fc kila mnacho ambiwa na Moo mnaamini tu!
'Nimeshatoa Bilioni 20', mnashangilia! Tukiwauliza ziko wapi, hakuna majibu yanayo eleweka!
Mtiba shugwa tupo pamoja mwanangu.Mimi Mtibwa Sugar aisee..mashabiki wa simba mna mahaba na MO mpaka mmeshaanza kumuiga lifestyle yake yeye anajiita MO29 wewe unajiita MO11...