Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,882
- 7,916
Times Fm ni redio ya michezo siku nzima, sasa katika hali isiyo ya kawaida leo wanapiga kile kibao cha Ubongo Kids kinachokwenda kwa jina la "Sifuri ni nini".
Huu wimbo mbona hauhusiani na michezo? Mbona kama wanaibagaza Simba?
Pia wanaplay sauti ya Ahmed Ally kila mara ile anayosema maana ya kugawa utamu ni kufungwa mechi 3 mfululizo.
Huu ni udhalilishaji wa kiwango cha juu maana ni kama wanasema timu ya Simba ni wagawa utamu.