Times FM: Asilimia 90 ya Watanzania wanaifuatilia Yanga tu

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Utafiti mdogo unaonesha asilimia zaidi ya 90 ya Watanzania kwa sasa hivi, wanaifutilia zaidi klabu ya Yanga kuliko klabu nyingine yoyote Tanzania hii. Kuanzia mitaani, runingani na mitandaoni.

Mbali ya ubora wa kikosi chao, hata kukutana kwa Wajukuu hawa wa Nyerere (Yanga) na Wajukuu wa Mandela (Mamelodi) kumeongeza mvuto kwa habari za klabu Yanga zaidi.

Mbali ya klabu kama klabu, hata msemaji wa Yanga amekuwa akiteka hisia za watu akiongelea masuala ya klabu yake tofauti na wasemaji wengine.

Taarifa hii kwa mujibu wa ukurasa wa kituo cha radio cha Timesfmtz

Note: Hizo 10% zilizobaki wanagawana Azam, Simba, Prison, KMCkmc, Namungo etc
1711499376515.jpg
 
emoji187.png
Utafiti mdogo unaonesha asilimia zaidi ya 90 ya Watanzania kwa sasa hivi, wanaifutilia zaidi klabu ya Yanga kuliko klabu nyingine yoyote Tanzania hii
Ni kweli kabisa mashabiki wa 🐸🐸 wengi wao ni jobless hawana hela, wapenda dezo, muda mwingi wanafatilia kale ka ofa ka free entrance kuona kama kamefutwa au kapo pale pale.

Hao ndio 🐸🐸fans kina pangu pakavu tia mchuzi.

Daima mbele nyuma mwiko.
 
Wanazo sababu ya kuyasema hayo maana kwenye mechi zao mbona kunakua na mapengo ya watazamaji, week end hii wana mechi kubwa dhidi ya mamelodi ndo kwanza jukwaa la mzunguko wanaingizwa bure 90% inakujaje hapo!!!
 
Back
Top Bottom