Timeline Corona

Timeline Corona

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
1,389
Reaction score
715
Najaribu kupanga timeline events kama zile ziliziyojea kabla ya Vita ya kwanza ya dunia

Mpaka sasa nina matukio mfungano manne

1. Kutokea kwa homa ya mapafu na kusambaa kwa kasi

2. Corona yatangazwa kuwa Janga la Dunia

3. Watu waamriwa kukaa ndani ndo mtindo wa nchi nyingi duniani

Biashara za safari za kimataifa zasimama dunia nzima

4. Nchi washirika zenye nguvu Duniani zazuia movement za watu kutoka nchi moja kwenda nyingine za washirika wenzao

5. Nchi washirika wa Ulaya na Marekani wananyang'anyana bidhaa za matibabu kwa kuteka meli za washirika kupeleka kwingine (ufa wa kutokuaminiana na kimsingi kutokushirikiana unajitokeza)

6. Corona inaingia na kukaa kwenye nchi ambayo imekuwa na reputation ya kutatua mambo magumu ndani ya masaa au siku chache (Israel) tukumbuke Israel walikuwa wahanga wakubwa wa vita ya Dunia.

7. Jambo la ajabu wakati haya yanaendelea tunaona wengine wanashambuliana katika soko kwa kushindana kuangusha bei ya mafuta (OPEC) na Russia,

8. Panic decision mfano kufungia wasafiri wasishuke kwenye meli matokeo yake wanaambukizana mamia kwa mamia ikiwa ni ishara ya panic kwa watoa maamuzi.

9. Uchumi wa Dunia waporomoka Sana

10. Baadhi ya mataifa yanashutumiwa kutumia janga hili kukaa madarakani mfano Hungary jambo ambalo linatafsiriwa kuqa udicteta

Loading

Tunatakiwa kuomba zaidi ya kuomba Corona iishe kwani kinachoweza kuwa nyuma ya hili janga kinaweza kuwa zaidi ya janga la Corona

It just a spark and the hell will break loose

Tujikumbushe kuhusu timeline za matukio yaliytookea na kupelekea matukio makubwa mfano WW 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom