Ngoja nikupe ka elimu kidogo naona una siku 3 tu toka ume join Jf. Huku sio Fb bro mpaka uweke na pic yako kwenye post zako, ila sio mbaya mshakaji uko handsome mbaya naona machumba kama akina King'asti washaanza kukucheki na wengine kibao watafuata. Mda si mrefu wata ku PM keep cool bro.