Time wastage...

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,991
Reaction score
5,234
Mara nyingi binadamu tunapoteza muda kwa kujua au bila kujijua,mfano mdogo ni mimi niliyepoteza miaka minne nikisubiria msichana amalize masomo ili nifunge naye ndoa.Kilichonipata ni kuachwa na niliyemsubiri muda wote huo bila sababu yoyote ya msingi.Kuna wengine badala ya kufuatilia masomo yao kwa bidii wanahangaika na mambo yasiyohusiana na masomo yao na kujikuta wanapoteza muda wao,wengine tunao hapahapa JF,badala ya kujishughulisha na vitu vitakavyowaletea maendeleo wao kutwa kucha unawakuta JF na ukiwafuatilia hakuna cha maana chochote wakifanyacho zaidi ya kuwatafutia wenzao Ban toka kwa Waheshimiwa MODS.Wenzangu,mmeshawahi kupoteza muda..??Kivipi na wapi na ilikuwaje mpaka muda huo ukapotea,na ilikuwa muda mrefu kiasi gani..??
 

hapo penye blue ndio pamenifanya nisahau kila kitu nilichopoteza nacho muda........
 
hapo penye blue ndio pamenifanya nisahau kila kitu nilichopoteza nacho muda........



Huo sasa tuuiteje,mimi nimejitolea mfano tu,kumbuka basi kilichokupotezea muda au wewe hujawahi kupoteza muda..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…