Time travel na Time Machine ni nini ?

sasa kwa kumalizia yote wengi naona wameelezea relativity, conclusion ni kua time travel haiwezekani, na kwa sasa hakuna mashine yoyote ambayo mtu anaweza kutumia kwenda back in time
 
sasa kwa kumalizia yote wengi naona wameelezea relativity, conclusion ni kua time travel haiwezekani, na kwa sasa hakuna mashine yoyote ambayo mtu anaweza kutumia kwenda back in time

Yes.

Primarily because the speed of light is the speed limit of our universe and we have no hope of attaining it, let alone surpassing it, using current science.

And we cannot move back in time unless we surpass the speed of light.
 

Yah ni movie Nzuri ila imekaa kisayansi zaidi maana kuna matukio kumbe ambayo tunayafanya au tungeyafanya by mistake sometime kumbe ni sisi wenyewe tunayasavu either pale ambapo kama ukienda uwanjani kutizama mpira na wakati unapokuwa unarejea home unakutana na panya road wakanakukaba na kukuibia kitu muhimu ambacho unatakiwa uwe nacho katika maisha ya mbeleni au uzeeni... sasa katika movie hii unaweza kujisave ukazuia safari yako kwa ishara either ukarusha jiwe ndani ya nyumba likaingia ndani na wewe ukajikwaa au ukaumia then hutoenda tena uwanjani bali hospitalini na unapojaribu kutizama nani amerusha jiwe humuoni na akili zako zinakuambia mpita njia au watoto waliokuwa wanacheza nje na ukiwauliza wanakataa katu... ni nzuri itafute DVD zake... niliitizama Nov 2014 ilipotoka
 
Yes.

Primarily because the speed of light is the speed limit of our universe and we have no hope of attaining it, let alone surpassing it, using current science.

And we cannot move back in time unless we surpass the speed of light.

Still the theory might not hold if it happens one day we surpass the speed of light... Not all conditions apply to all theories, some theories fail in some cases, a good example most laws that apply to huge objects fail when we talk of matter in quantum scale.. Who knows it might be the case when it occurs we reach the speed of light, maybe we'll get different results and not go back in time as Einstein predicted hence new theories, new laws that apply to objects moving at >= speed of light...

Something else that i'm curious.. If light from a Andromeda galaxy takes say 300million years to get here, it means no one knows exactly what's happening in that galaxy as of today, imagine if a worm-hole existed theoretically that joins the two galaxies, if one were to enter the worm-hole and get out on the other side alive, what will that person observe?? will the situation there be the same as the one we saw on the picture that took 300M years to get here? or will the situation be like what we'll observe 300M years later here on earth??
 

There is nothing impossible about time travel once you get rid of the speed of light hurdle.

There is no other fundamental barrier. Please read Stephen Hawkins "A Brief History of Time" if you haven't. The chapter is called "The Arrow of Time" if I am not mistaken. This is explained far better than I can.

If you have another fundamental hurdle, name it.

"Might not hold" is neither here nor there, in that it also implies "might hold".

"Who knows" and "maybe" are not premises for scientific discussion.

If you have a scientific theory that shows why time travel would be impossible once the speednof light is surpassed, please bring it here for discussions.

Otherwise, you are engaging in frivolous speculations.
 

U call it speculation, i call it "thinking differently", not all theories work all the time. infact most theories never worked the first time until many corrections got made. I didn't say it won't work, i said what if the theory doesn't hold... You are forgetting that in science nothing is certain until proved. No one has crossed the light speed barrier...
 

That is why I said you are neither here, nor there.

You can't conclude that it will work or it wont.

Worse still, you do not know how to hold ideas on a scientific scale, by using scientific theories.
 
Duuuhh kweli kuna mambo mengi sana ya kuyaelewa!!! acha nilale kwanza nitarudi kuanza upya!! heshima kwako mkuu Monstgala na wachangiaji wote!!
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa Elimu juu ya Yale aliyosema Einsteins.
Je ? Wewe unasemaje kuhusu hayo yaliyosemwa ?
 
Asante kwa Elimu juu ya Yale aliyosema Einsteins.
Je ? Wewe unasemaje kuhusu hayo yaliyosemwa ?

Sahihisho,ukiweka alama ya kuuliza baada ya neno JE?,mwisho wa sentensi weka nukta. Na wala usiweke tena alama ya kuuliza kama ulivyofanya hapo kwenye swali lako,ulitakiwa uandike hivi.
Je? Wewe unasemaje kuhusu hayo yaliyosemwa.
Au
Je wewe unasemaje kuhusu hayo yaliyosemwa?
Nalog off
 

Ahsante mwalim wa kiswahili umetekeleza wajib wako

Nirudi katika mada kidogo
Hivi kweli tunaweza kupata chombo kinachoenda speed kushinda rocket na if posible kitatumia mechanism gani maana hii theory ya kuusimamisha muda naona imekua myth kwani can never be achaived hatutaweza kupata chombo kinachoenda speed kuliko mwanga
 

Asante Sana
 

Kwa mujibu wa Einstein's Relativity, si tu hatuwezi kupata chombo kitakachoweza kwenda kwa spidi ya mwanga, kitu chochote chenye uzito, hata ki nucleus kidogo cha atom ya hydrogen, hakiwezi kuzidi kasi ya mwanga.

Kwa sababu, kadiri kinavyokaribia kasi ya mwanga ndivyo uzito wake unavyozidi kukaribia infinity

See What if you traveled faster than the speed of light? - HowStuffWorks
 


Kwenye LHC (Cern Zurich) walishathibitisha ya kwamba Neutrinos zinasafiri faster kuliko speed of light, c sema wenye Dunia wakaikingia kifua na yule Mwanasayansi aliyeitangazia Dunia hii habari njema alifutwa kazi!

Kwa kifupi Special Relativity ya Einstein iko wrong sema Wakubwa hawataki kuruhusu hii ikubalike lkn imeshathibitishwa!
 

Hiyo experiment walikuja kujirudi na kusema kwamba walikosea.

Soma hapa

Faster-than-light neutrinos: was a faulty connection to blame? | Science | The Guardian

http://www.washingtonpost.com/natio...ht-particles/2012/03/16/gIQAqYLkGS_story.html

Pia, hakuna scientific theory iliyokamilika. Newtonian classical physics haziko wrong katika domain yake, ila zimekuja kuongezewa na Einsteinian relativistic pohysics ambazo ziko more accurate katika relativistic speeds.

This does not mean hatuwezi kutumia Newtonian physics kujenga nyumba na madaraja.

Lakini, ikija kwenye kutumia GPS tunatumia relativistic physics za Einstein.

Sasa utasemaje Relativity iko wrong wakati imefanya predictions tangu 1919 na kuthibitishwa na kina Arthur Eddington na mpaka leo tunaitumia katika GPS?

Relativity iko wrong wapi?
 

Najua ya kwamba walitoa sababu sijui mara ya kwanza cable kwenye za detector zilichomoka na blahblah nyingi lkn hii kitu pia ina siasa ndani yake lkn ipo siku itakuja kukubalika tu ingawaje wenye Dunia wanapinga kwa maana wanajua ya kwamba kama Special Relativity ikiwa proved wrong na imeshakuwa basi hiyo ni game changer na inabidi kila kitu kiwe rearranged kuanzia propaganda za ugenius wa Einstein mpaka Physics yote kwa ujumla!
 

Unaelewa maana ya kusema kwamba hata Newtonian physics haiko wrong ingawa imekuja kuongezewa na relativity?

Utasemaje relativity iko wrong wakati inazungusha satellite angani na watu wote wanaotumia GPS wanaitumia?

Utasemaje relativity iko wrong wakati ilitabiri mwendo wa sayari ya Mercury katika eclipse ya 1919 kama ilivyokuja kuthibitishwa na Sir Arthur Eddington?

Hizi habari unazifahamu?
 

Newtonian Physiks iko sawa mahali fulani na inaweza kutumika kuelezea na kucalculate mambo mengi tu tena kwa urahisi na ufasaha lkn inashindwa kuelezea mambo mengi na ndio maana Quantum physics ikazaliwa!

Special relativity yote iko kwenye hii ya kwamba hakuna particle inaweza kusafiri faster than the speed of light, sasa kama watu wameweza kuthibitisha hilo ya kwamba wanaweza kuaccelerate particles faster than speed of light ina maana special relativity imekuwa proven wrong!
Anyway ni nje ya mada hata hivyo na maadamu media wameshasema ya kwamba ile expriment cables zilichomoka na yule Mwanasayansi wa CERN tayari keshafukuzwa kazi basi mpaka sasa hivi bado special Relativity inahold!
 

Taratibu.

Special relativity yote ipo kwenye hii ya kwamba hakuna particle inaweza kusafiri faster than the speed of light?

Unafahamu Special relativity yote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…