Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 924
Kwa bahati mbaya sana huwa sipendelei sana kutazama tv, labda taarifa ya habari baada ya hapo hunipati kwa TV mkuu.Punguza kuangalia makatuni...
Shukrani Sana mkuu GEMBESON Kwenye ndoto hiyo sikuwa na huzuni bali nilikuwa ninafuraha ya aina yake haijawahi tokea, nili-enjoy sana, mpaka nafikia hatua ya kushtuka usingizini nilijikuta ni mwenye furaha hali ya kuwa sijapata Siri yoyote kwenye ndoto hiyo. Nilichokikumbuka ni kuwa nimeota/ Kuya experience maisha ya miaka ya nyuma yalikuwaje kupitia kwenye ndoto.Ndoto inaweza tokana na mambo mengi;
Mfano wewe ulichoka na ukachelewa kulala kunaweza kukufanya ulale usingizi mzito unaokupeka kwenye kuota.
Tafsiri ya Ndoto unaweza kuifanya kwa kuangalia matendo yaliyojitokeza kwenye hiyo ndoto. Kwa maelezo ya ndoto yako, umeota mambo ya miaka ya nyuma hii ni ndoto inayohusu watu wenye mamlaka. Inawezekana Baba yako au Babu yako ambaye sasa hayupo Duniani enzi za uhai wake aliwahi kukwambia ufanye kitu fulani na wewe hukukifanya. Anaweza kukutokea kwenye ndoto kwa staili kama hiyo kwa muonekano wa mtu mwingine ili akukumbushe utimize yale maagizo yake ya siku za nyuma.
Vitu vingine vya kuvifuatilia ni mwisho wa hiyo ndoto iliishaje?. Kulikuwa na matukio ya wewe kufurahi au kuumia?.
Ndoto mbaya ni zile tukio la mwisho labda uling'atwa na Nyoka au ulitumbukia shimoni au ulikuwa unalia gafla ukashtuka na kuamka au ulikuwa unaota unapaa angani ghafla ukaanza kudondoka ukaanguka hadi chini na kuumia sana au unaota unakimbizwa na Simba kisha akakupata na kukufanya kitoweo.
Tafsiri ndoto yako kwa kuangalia yale matukio ya mwisho ya kwenye ndoto
Poa. Ndoto zenye kuisha kwa matukio ya furaha kama hii yako hazina shida.Shukrani Sana mkuu GEMBESON Kwenye ndoto hiyo sikuwa na huzuni bali nilikuwa ninafuraha ya aina yake haijawahi tokea, nili-enjoy sana, mpaka nafikia hatua ya kushtuka usingizini nilijikuta ni mwenye furaha hali ya kuwa sijapata Siri yoyote kwenye ndoto hiyo. Nilichokikumbuka ni kuwa nimeota/ Kuya experience maisha ya miaka ya nyuma yalikuwaje kupitia kwenye ndoto.
Huenda ikawa Kuna Siri lakini kumbukumbu imefuta sikumbuki zingine zimefutika
Hiyo Ina maana gani mkuu?Ikikutokea siku nyingine mkuu jaribu tafuta choo na kisha kunya!
Inafikrisha sanaSiku moja nilipata kusoma kisa hiki mahali;
hiyo siku kulikuwa na vyura watano wamekaa juu ya gogo ambalo linaelea juu ya maji, basi chura wa kwanza akawaambia wenzie 'sijawahi kuona jinsi tunavyokwenda kwa ulaini juu ya maji haya', lakini chura wa pili akamkata kauli na kumwambia 'sisi hatuendi bali tumetulia juu ya hili gogo ambalo ndilo linajongea kwa ulaini juu ya maji haya', kabla ya kumalizia kauli yake chura wa tatu naye akampinga kauli yake kwa kumwambia 'si kweli ya kwamba hili gogo linajongea juu ya maji bali hili gogo lipo pale pale na kinachojongea ni haya maji yaliyo ndani ya mto huu',chura wa nne nae akadakia kwa juu na kusema 'sio kama maji haya yaliyo ndani ya mto huu yanajongea bali ni akili zenu ndizo ambazo zinajongea', basi bwana ukazuka mzozo mkubwa zaidi wa ule wa simba na yanga nusra ya hawa vyura kupigana kwa kila mmoja kutetea hoja yake, lakini kulikuwa na chura mwingine ambaye amekaa pembeni kimya ambaye hakutoa hoja wala kwenye mabishano yale hakushiriki, baada ya wale vyura wanne kushindwa kufikia muafaka ikabidi wamuulize yule chura wa tano ambaye alikuwa kimya kwa mda wote ili yeye ndio atoe suluhisho la chura yupi hoja yake ndio ina mashiko... baada ya kutulia kwa sekunde arobaini naye aliwaambia "sio sisi tunaojongea,wala gogo,wala maji,wala akili zetu bali kila kitu kipo palepale na hakuna kinachoenda wala kinachorudi" basi wale vyura wanne walijawa na hasira juu ya maneno yale ya chura wa tano, basi wakamkamata wakampiga kisha wakamtumbukiza mtoni!
...na huo ndio mwanzo wa kuutafuta ukweli kama yeye ni binadamu anayeishi mwaka 1973 ambapo sasa akilala anaota yupo mwaka 2021, au yeye ni binadamu anayeishi mwaka 2021 ambapo akilala anaota yupo 1973!?...Inafikrisha sana
Dah! [emoji15]...na huo ndio mwanzo wa kuutafuta ukweli kama yeye ni binadamu anayeishi mwaka 1973 ambapo sasa akilala anaota yupo mwaka 2021, au yeye ni binadamu anayeishi mwaka 2021 ambapo akilala anaota yupo 1973!?...
Mkuu mimi Sio mtu wa luninga ki vileHizi ni Bullshit hata sijaimalizia umeota movie uliyoiangalia mchana..enh Super villain alikuwa nan[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulimwengu wa roho ni upi na ulimwengu wa mwili ni upi!? kama unamaanisha ukiwa ndotoni ndio ulimwengu wa roho pia ukumbuke hata pia mwili unakua nao, na ndio maana ndotoni tunazaliwa,tunakula,tunasoma,tunaoa na kuolewa,tunapigana,tunasali/swali,tunauana,tunarogana,tunapata ajali na hata pia tunakufa,(hivyo mwili na roho vyote hata ndotoni tunavyo) je huu unaouona ni ulimwengu wa mwili unatofauti wowote na huo ulimwengu wa roho!?Dah! [emoji15]
Hapo mkuu jitwangabalogi umenifikirisha tena, inamaana kwenye ulimwengu wa roho naweza kuwa bado nipo 1973? japokuwa nilikuwa bado kuzaliwa! wakati kwenye ulimwengu wa mwili nipo 2021!!
Hii inawezekana kweli!?
Bila shaka ni Thanos!Hizi ni Bullshit hata sijaimalizia umeota movie uliyoiangalia mchana..enh Super villain alikuwa nan[emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka ni Thanos!
"You could not live with your own failure. Where did that bring you? Back to me".
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulimwengu wa roho ni upi na ulimwengu wa mwili ni upi!? kama unamaanisha ukiwa ndotoni ndio ulimwengu wa roho pia ukumbuke hata pia mwili unakua nao, na ndio maana ndotoni tunazaliwa,tunakula,tunasoma,tunaoa na kuolewa,tunapigana,tunasali/swali,tunauana,tunarogana,tunapata ajali na hata pia tunakufa,(hivyo mwili na roho vyote hata ndotoni tunavyo) je huu unaouona ni ulimwengu wa mwili unatofauti wowote na huo ulimwengu wa roho!?
hizi ishu za kiroho mi mwenyewe huwa zinanichanganya sana na mda mwingine majibu nakosa...tuchukulie tu mfano wa ndoto yako "wewe hapa tunavyochati jf kwa mtazamo wako na watu wote nami pia nikiwemo tupo mwaka 2021, je unaweza kweli kumuaminisha mtu wa hapa jf ya kwamba tupo mwaka 1973!?...la hasha bali utaoneka we ni kichaa,umechanganyikiwa, au unaota sivyo!? lakini je ukilala na usingizini ukaota upo mazingira ya mwaka 1973 wewe pamoja na wale wote waliokukuzunguka katika maisha yako ya ndotoni je unaweza kuwashawishi mpo mwaka 2021!? la hasha nao wataona wewe ni mwehu au upo ndotoni unaota. swali sasa ni je? yapi ni maisha yako halisi!? hapa tunapochat jf ni uhalisia wako au unaota!? au je ni yale mazingira 1973 ni uhalisia wako au upo ndotoni...