Kampuni ya microsoft iko mbio kuakikisha mpaka mwakani watumiaji wa windows XP OS watakuwa wameupgrade to windows 8 kwan mpaka sasa kuna 37.7 percent ya wanaotumia windows xp kote dunian.
Wanasema "people are not forcing into other OS's but are convicing to do so kwan kutokufanya hvyo ni sawa na kuwa na gari bila spea"
MziziMkavu na Mphamvu mwenzio natumia Linux Lite saaafi kabisa
Mkuu ndetichia Unaweza kuweka OS mbili ila utengeneze partition hard disk kama 50 GB itakuwa iko poa tu.mimi MziziMkavu au chief-mkwawa naomba kujuzwa je na weza kutumia os mbili kwenye lapto yenye RAM 2 GB maana sasa hivi na win7 ultimate nikitaka kuongezea na hiyo zorin os inawezekana..
nimeona kuna zorin lite minimuma inataka ram 128mb kumbe kuna pc za zamani zinaweza run hii zikawa very fast
mimi MziziMkavu au chief-mkwawa naomba kujuzwa je na weza kutumia os mbili kwenye lapto yenye RAM 2 GB maana sasa hivi na win7 ultimate nikitaka kuongezea na hiyo zorin os inawezekana..
nimedownload zorin 6 lite wakati nainstall ikawaina option ya kuifanya iwe os ya pili na ndio nimeiweka na sasa hivi naitumia iko kam window ndio uzuri wake na fasta pia kuliko window..Kwa ushauriwangu tumia virtuabox lite na uweke nusu ya ram yako
Mkuu ndetichia Hongera Funguwa Terminal kisha andika hivi sudo apt-get update && sudo apt-get upgrade kisha bonyeza (Enter) utaulizwa password yako utaweka password yako kisha utabonyeza tena (Enter) itaanza Ku Update yote itafika mahali itakuuliza je unataka kuendelea au la (Y/N) utaweka Y kisha utabonyeza tena (Enter) na kumaliza yote Update fanya hivyo kila wakati wa ku Update.thanks mkuu nimeiweka lite ndio naitumia..