Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,674 Reaction score 20,693 Mar 1, 2023 #81 Siku moja eti kanatangaza "fulani ni boyfriend wangu!!" hawa watoto wa mastaa wanakuwa hawana namna ya kufikia level za wazazi wao. wanafanya kila uajabu nao waonekane.
Siku moja eti kanatangaza "fulani ni boyfriend wangu!!" hawa watoto wa mastaa wanakuwa hawana namna ya kufikia level za wazazi wao. wanafanya kila uajabu nao waonekane.