Sheikh Ubwabwa kutoka kwa JiweSasa hivi nchi haina viongozi wa dini (Si kwenye uislam wala ukristo).
Sikatai mungu ni wetu sote, ila sidhani kama atapokea dua za masheikh wanafiki wanafiki kama huyo kiumbe.[emoji53] [emoji18]
Sheikh Ubwabwa kutoka kwa Jiwe
Mh, Sheikh hana lolote, mchumia tumbo tu!huogopi na wewe utaingizwa kwenye list ya sheikh???mie siongei mpaka tarehe 1/1/2019 πππ
Alisema hatafika mwisho wa 2018. Naona time is ticking out! Bado siku 14! Tuombe Mungu tufike 31/12/2018 usiku wa saa 6:59999999999999999999999999999999999999999999999999999999 na ikimpendeza apishe mbali!
Yani huyu sheikh eti ni wa mkoa, alijipa hiki cheo au alipewa?!