Lighton JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 1,904 Reaction score 3,100 Sep 19, 2022 #1 Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote. Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili.
Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote. Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,726 Reaction score 81,777 Sep 19, 2022 #2 Chokoletitamusana said: Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote. Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili. Click to expand... Upo wapi Njoo Hapa liquid unywe balimi
Chokoletitamusana said: Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote. Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili. Click to expand... Upo wapi Njoo Hapa liquid unywe balimi
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,141 Sep 19, 2022 #3 Kweli Mkuu.. Nimetoka Kumwambia Wife Hapa Sasahivi.!!!
N ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,713 Reaction score 57,231 Sep 19, 2022 #4 Kweli asee that's why k vant yangu ndogo mbili nazinywa mdgmdg toka saa moja jion nikalala kdd now nimeamka kesho natakiwa nisafiri usingizi umeisha
Kweli asee that's why k vant yangu ndogo mbili nazinywa mdgmdg toka saa moja jion nikalala kdd now nimeamka kesho natakiwa nisafiri usingizi umeisha
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,361 Reaction score 6,967 Sep 19, 2022 #5 Oh hooo angalia kama umelala na mke wa mtu ujue leo ndio 40 yako .... Ndio maana unahisi masaa hayakimbii .... Au asubuh asubuh una dili nono so unataman kukuche fasta
Oh hooo angalia kama umelala na mke wa mtu ujue leo ndio 40 yako .... Ndio maana unahisi masaa hayakimbii .... Au asubuh asubuh una dili nono so unataman kukuche fasta
sepema JF-Expert Member Joined Jun 13, 2019 Posts 591 Reaction score 1,001 Sep 19, 2022 #6 Chokoletitamusana said: Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote. Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili. Click to expand... Nikwel mkuu. Nimelal sa4 usingiz nimeenda nao had nikahis nimechelewa stend(nasafiri).Kuamka nacheki saa ni saa8 ucku
Chokoletitamusana said: Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote. Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili. Click to expand... Nikwel mkuu. Nimelal sa4 usingiz nimeenda nao had nikahis nimechelewa stend(nasafiri).Kuamka nacheki saa ni saa8 ucku
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,071 Reaction score 831,687 Sep 19, 2022 #7 Chokoletitamusana said: Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote. Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili. Click to expand... Ukiwa huna hela na huna mpenzi muda ni kama umesimama na usiku huwa mrefu sana
Chokoletitamusana said: Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote. Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili. Click to expand... Ukiwa huna hela na huna mpenzi muda ni kama umesimama na usiku huwa mrefu sana
Ndenji five JF-Expert Member Joined Nov 1, 2021 Posts 1,985 Reaction score 3,120 Sep 19, 2022 #8 Mshana Jr said: Ukiwa huna hela na huna mpenzi muda ni kama umesimama na usiku huwa mrefu sana Click to expand... mlonzi kasema mm nani nipinge
Mshana Jr said: Ukiwa huna hela na huna mpenzi muda ni kama umesimama na usiku huwa mrefu sana Click to expand... mlonzi kasema mm nani nipinge
M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,450 Sep 19, 2022 #9 Acha kulalia mashuka machafu
Lighton JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 1,904 Reaction score 3,100 Sep 20, 2022 Thread starter #10 msafwa93 said: Kweli Mkuu.. Nimetoka Kumwambia Wife Hapa Sasahivi.!!! Click to expand... Leo tena imeanza saa nane kamili
msafwa93 said: Kweli Mkuu.. Nimetoka Kumwambia Wife Hapa Sasahivi.!!! Click to expand... Leo tena imeanza saa nane kamili
Lighton JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 1,904 Reaction score 3,100 Sep 20, 2022 Thread starter #11 Mdukuzii said: Acha kulalia mashuka machafu Click to expand... Kuwa makini mkuu usirahisishe maisha
Lighton JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 1,904 Reaction score 3,100 Sep 20, 2022 Thread starter #12 Mshana Jr said: Ukiwa huna hela na huna mpenzi muda ni kama umesimama na usiku huwa mrefu sana Click to expand... Mkuu nimetoka kumaliza mishe flan ya kazini kama kawaida nacheck time nakuta hii saa nane inaenda slow kuliko siku zote
Mshana Jr said: Ukiwa huna hela na huna mpenzi muda ni kama umesimama na usiku huwa mrefu sana Click to expand... Mkuu nimetoka kumaliza mishe flan ya kazini kama kawaida nacheck time nakuta hii saa nane inaenda slow kuliko siku zote
Mmea Jr JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 956 Reaction score 2,237 Sep 20, 2022 #13 Upo sahihi mimi hata usingizi umekata nimeamua kuanza kuzunguka zunguka tu kwenye mitandao ya kijamii
Upo sahihi mimi hata usingizi umekata nimeamua kuanza kuzunguka zunguka tu kwenye mitandao ya kijamii