Acha woga weka link na summary, vijana kuwa waoga siyo sawa.
Lazima kushiriki vilivyo katika vuguvugu hili siyo kuwaachia watu wachache kina Lissu Heche, Mnyika, Dua Lyamzito, Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa na viongozi wengine 200 wa chama huku umma wa People's Power nguvu ya umma tulio maelfu, malaki na mamilioni tuna woga mkubwa na kujistukia ....
Ili vuguvugu liwe Tsunami inatakiwa tufunguke kwa kuweka hamasa chanya katika uzi tunaouanzisha tunaoanzisha siyo kukimbia kimbia hata kuanzisha uzi ulikamili kutoa picha kubwa pana ,ili tupate wenge tuitafute hiyo Royal TV
Sema Aluta Continua, Struggle Must Continue, Mapambano lazima yaendelee na pia Nguvu ya Umma ya mamilioni ya raiq tujitokeze bila wasiwasi.
No Reforms No Elections.