Tumia akili kufikiri na siyo masabauri hayo siyo maamuzi magumu bali ni maamuzi ya kipumbafu na kinafiki sumaye aliwezaje kuitumikia serikali akiwa waziri mkuu kwa miaaka kumi wakati mabaya yote ya CCM anayoitukanaa leo maamuzi yake alishiriki? Leo hii anapata wapi ujasiri wa kutuambia mabaya juu ya CCM wakati kwa miaka kumi alikuwa akifurahia ukuu aliopewa kwa kuhangaika kulipa visasi kwa baadhi ya watu aliowachukia akiwemo mtu mdogo afisa mifugo mkoa wa Dodoma wa wakati huo? Na juzi nimemsikia anadai eti CCM hawajui umuhimu wake alitaka afanyiwe nini kama waziri mkuu mstaafu tofauti na wenzake kama MSUYA, DR SALIMU MALECELA NA WARIOBA? Kwa kujona yeye ni bora kuliko wengine anaahidi kisasi kwa Kikwete, maana kwa nafasi yake akisema chama kilichompa ukubwa ni kibaya maana yake anamsema moja kwa moja mwenyekiti wa chama hicho hakuna mkubwa kuliko huyo.
kwa roho yake hiyo ya kisasi nawashangaa watu wanaochekelea ujio wa EL na FS upinzani kwakuwa wamekuja kuungamiza upinzani badala ya kuuimarisha ni nani mwenye akili timamu atakaye waamini malimbukeni hawa wanaohangaika kutafuta madaraka kwa nguvu?
Ukanda walioupanga kwa kujidanganya kuwa watatawala nchi hii kwa ujinga wao wa kikabila na ukanda imekula kwao. Hivi hata kama una matope kichwani kama ulivyo wewe Sumaye atakuambia nini juu ya CCM na umuamini, rushwa anayoisema alishindwa nini kuizuia kwa miaka kumi ya uwaziri mkuu wake leo hii akuaminishe anayosema umuamini? Msikurupuke tu kushabikia ujinga na tamaa ya madaraka kwa kudanganywa na mtu ambaye hata wilayani kwake alishindwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama chake hivi wewe unamfahamu SUMAYE kuliko Mzee Mkapa aliyemuita Mpumbavu? Jiulize hata kwenye dini mtu anabatizwa leo na leo hiii unampa uaskofu hiyo dini kaisoma lini na kuielewa misingi yake? Leo hii mtu kaslimu na tayari unampa uimamu je madrasa kasoma lini haiwezekani EDWARD NA FREDY WAINGIE CHADEMA LEO NA WAGOMBEE URAIS CHADEMA WALIIJUA LINI KATIBA YAKE NA SERA ZAKE? NDIYO MAANA MIMI nitachagua CCM kwakuwa EL NA FS wameenda na sera za ccm ndiyo wanazotumia na siyo za cdma lakini hata hivyo kwa nini top officers wote wa ukawa ni north zone ina maana watz wengine hawana sifa za kuwa wakuu wa ukawa mpaka north tu?
Mwenye akili atajua nini kilichoko nyuma ya pazia lakini wajinga mtaendelea kushabikia na kupandiwa ngazi ili kufanikisha malengo ya ukanda wa kaskazini kwa kudanganywa eti mnakombolewa hivi unakombolewa toka wapi huyo anayedai kukukomboa alishindwa nini kukukomboa kwa miaka kumi alikuwa waziri mkuu? Yale mashamba ekari miatano alizowadhululmu maskini wa Morogoro kwa kutumia nafasi yake ya uwaziri mkuu ndiyo ukombozi anaotuhadaa kutukomboa? Yeye na genge lao wapotelee mbali na ikulu hawataingia labda waingie kwa nguvu lakini si kwa ridha ya watanzania weye akili timamu