Timbuktu

lakini wamecheza afcon mara sita, wana vijana wao kumi na sita football proffessional all aver europe! sisi je?
 
Then jamaa anaonekana ana ubinadamu kidogo.

POLISI watakiwa kufunzwa hivyo sio kuinua bomu la machozi kwa watoto na akina mama wasioshika hata mawe, ni bahati mbaya kwa maoni yangu kuwa siku hizi hapa TANZANIA kazi ya uaskari hasa wa ngazi za chini wengi wao ni waliofeli darasani na kushindwa kuendelea na elimu ya juu.
 
enzi za mwalim wakati st kayumba zipo juu hususani somo la historia darasa la tano hiyo! Historical sites Timbuktu, Taodeni na Bilma miji hiyo ina hostoria kubwa sana. Enzi Mali empire sasa hawa siasa kali wanataka fanya nini tena? Tuareg bana tabu tupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…