Till ya tigo pesa inauzwa laki saba

Till ya tigo pesa inauzwa laki saba

Eliamini

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
618
Reaction score
744
habar wadau wa jf,nauza till ya tigo pesa na bei yake ni laki saba kwa mawasiliano nitafuteni kwa namba 0682933868
 
wakuu... wala msihangaike kununua till za tigo pesa mitaani kwa bei ghali.. tigo wameshatoa fursa tena kutoa till mpya.. kuna super dealer mpya. anaitwa accenture holdings limited. maeneo ya lufungila mwenge.... kwa wote wanaotaka tills. just visit this place.. mtahudumia na kupata tills very easily kwa kufuata procedure za kawaida... ofisi ipo as unatoka kituoni lufungila unaelekea sinza mori. frem ya tatu tu on ur right. namba zao ni 0714 747464…
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom