TILL inauzwa

TILL inauzwa

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,660
Kwa anayehitaji TILL zinauzwa:
Voda = 150,000/=
Tigo = 150,000/=
Airtel =130,000/=
Halotel =130,000/=
Karibuni sana kwa biashara.
Ni zipo moja moja tu nilikuwa nafanyia biashara mimi sasa nmeamua kuingilia kulima hivyo naziuza kuongeza mtaji wa kilimo.

Napatikana Iringa lakin Mbeya,morogoro na Dar naweza kukufikishia
0765329261
 
Unazingua mbona hupokei simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara kichaaa hyo..
Inakila aina ya majanga..
1. CHUMA ULETE
2. WIZI WA SILAHA
3. MATAPELI
4. WIZO WA MTANDAO

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama huna maisha sio kila mtu,... Usiaribu biashara za watu, nuksi na dhiki kaa nazo mwenyew,... Usitake watu wakufate kwenye maisha yako ya dhiki,umepewa akili kufikir sio kulaza ujinga, badilika,!
 
Kama huna maisha sio kila mtu,... Usiaribu biashara za watu, nuksi na dhiki kaa nazo mwenyew,... Usitake watu wakufate kwenye maisha yako ya dhiki,umepewa akili kufikir sio kulaza ujinga, badilika,!
Asante mkuu umemjibu vizur mi kidogo niropoke neno hilo nadhan ningekuwa banned

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huna maisha sio kila mtu,... Usiaribu biashara za watu, nuksi na dhiki kaa nazo mwenyew,... Usitake watu wakufate kwenye maisha yako ya dhiki,umepewa akili kufikir sio kulaza ujinga, badilika,!
Ni maoni tu mkuu.. Sina ugomvi na mtu.. Ata kama mtu atanunua ajue kuna hzo changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Till za airtel bado zipo anaehitaji please tuwasiliane kwa
0621118695
Naziuza kwa 100,000/ kwa till moja
 
Back
Top Bottom