Tikiti na Nanasi

Tikiti na Nanasi

liq

Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
62
Reaction score
44
Habari wadau,nahitaji tikiti maji nzuri na kubwa kwa bei ya jumla pamoja na Nanasi nzuri.quantity nachukua kuanzia 30,40 na kuendeleaKumbuka nahitaji kwa bei ya jumla.napatikana mbezi tangi bovu dar es salaam
 
Tikiti 40 na nanasi 40 unakuja jf kutangaza duh.
ukianza kuhesabu unaanza na ngapi?hiyo nimetoa makadirio ya kuanzia ninayohitaji na kuendelea,je ulitaka nije nikutangazie wewe uniletee?kauli nzuri hupima vyema akili ya mtu.hili ni jukwaa huru kuomba ushauri na msaada kimawazo na mafunzo kwa anayejua jambo.next tm Think hard!
 
Kama.ni jukwaa huru kwanini mm nimechangia umenishambulia?
 
Habari wadau,nahitaji tikiti maji nzuri na kubwa kwa bei ya jumla pamoja na Nanasi nzuri.quantity nachukua kuanzia 30,40 na kuendeleaKumbuka nahitaji kwa bei ya jumla.napatikana mbezi tangi bovu dar es salaam
i believe if you read keenly between my lines above,u will understand what excactly what i asked especially on quantitez,Fernando sucre got my question right and thats why immedietly got the answer written.waste no time brothers to quotes otherwise.@saju b,for life,daudthefarmer READ BTN THE LINES! cheers brothers....
 
Nimecheka sana.
Watu tunataka wateja wa tani nzima wewe unataka tikikiti 30 alafu unatangaza jf.
Kweli kua uyaone
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzenu yuko serious jamani ah ah
 
quantity nachukua kuanzia 30,40 na kuendeleaKumbuka nahitaji kwa bei ya jumla.napatikana mbezi tangi bovu dar es salaam.READ THAT...
 
BRO SANTANA kwa uwelewa wako huo sasa utapataje mteja wa tani,mpaka unakua na tani bado hujui pa kizipeleka tu???now your seriously not serious....heheheeee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzenu yuko serious jamani ah ah
easy man!soma kipande hiki nimekumegulia kwa kua hukusoma vizuri na uwelewa labda upo tofauti,"quantity nachukua kuanzia 30,40 na kuendeleaKumbuka nahitaji kwa bei ya jumla.napatikana mbezi tangi bovu dar es salaam"Now rudi soma katangazo nilivyoandika.Na namshukuru alienipa lead nimeshapata.ngoja niendelee kuwaona mkitiririka!haahahaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom