ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,713
- 3,587
Habari za muda huu. Kwa yeyote ambae ambae anajua vituo vya kuuzia tiketi kwa mechi hiyo ya jumamosi naomba anijuze.
Habari za muda huu. Kwa yeyote ambae ambae anajua vituo vya kuuzia tiketi kwa mechi hiyo ya jumamosi naomba anijuze.
Hatuchezei historia ----- wewe, bila shaka wewe ni mshabiki wa Man U na Thimba thipot club hivyo umeathirika kisaikolojia na mahistoria yako hayonyie jichimbieni hata shimoni sisi waarabu tupomjini tunanunua viatu 2,kwa wale jamaa zangu waislam wa mitaa ya msimbazi nitawaambia al jumma sisi watu wa NATIONAL AL ALHLY tutaswali wapi...!?
1:mabigwa wa misri.
2:mabigwa wa afrika.
3:mabigwa wa supa cup afrika.
4:mabigwa wa vikombe vya kimataifa mara nyingi kabisa duniani, mara 19.