Mkuu sidhani kama tupo tayari kutumia mfumo huu maana mfumo huu ni lazima uendane na kumtambua mnunuzi wa ticket au anayenunuliwa ticket naona systems yetu haiongei kabisa, watu mpaka leo malalamiko kibao kuhusu NIDA, wengi hawana hizi ID numbers, kwangu NIDA ningefutilia mbali (ni wezi tu)ni Home Affairs wenye wajibu ea kutunza ledger ya raia wa nchi hii,buck stops with them