Hivi kesho tiketi za mechi ya Simba vs Yanga zitakuwa zinapatikana pale uwanjani??
Naombeni msaada jamani kama nimechelewa kuchukua tiketi kimuhemuhe kilikuwa kinasumbua.
kadi za selcom zinapatikana kama njugu hauhitaji picha wala barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa wala kwa mjumbe. Nunua moja na upate faida za matumizi ya kadi za selcom.
Huwa wanauza hata pale uwanjani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.