Kwa wapenzi wa tik tok mtaandao onao post video za joking na action serious fun unaotumiwa hasa indian ,kenya na Tanzania kwa wachache wao
Tatizo lake mmoja tu ukitaka kufaidi usiwe unaweka bando za chispi kama anazouza
Zero IQ
Nenda play store utaikuta na we uenjoy video zao tu ni mwendo wa slid up au ku pop up