Tija ya Mtandao / Intenet ya Tigo Mhhh

Tija ya Mtandao / Intenet ya Tigo Mhhh

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,623
Reaction score
1,096
Wadau hawa jamma wa Tigo vipi?. Yaani huku milima ya Dar es Salaam ni janga.

Au Satellite yao imedondoka au imepigwa JAM GEAR?
 
jaribu kuwasiliana nao tafadhali, sometimes kuna breakdown, jamming, overcrouded nk
 
Asantwe Mkuu. Inawezekana MSONGMANO humu Tigo ni mkali. wenzangu jirni wenye mitandao mingine wanapeta tu.
 
yan huwa natmia tg na voda,kwakweli ckuhz line ya voda nimeacha kuweka hela huwa napokea v cm mtandao wa tg ni majanga kwenye internet
 
tgo ni hovyo kwenye internet hapa kwenyewe natumia hiyo lakini karibu wiki nzima inazingua
 
Tatizo la Tigo, watu wa sales na mkting hawana mawasiliano mazuri na watu wa production (minara na system). coz uwezi kuweka mapromotion kibao bila kupanua huduma.

Facebook bure wakat mitambo ile ile, wateja wanaongezeka kwa wing mpaka wanaizidi mitambo.

Weee amia Vodacom wana afadhali kidogo.
 
Tigo kwishnehi.. .!

Tigo ni majanga!!niliwachoka jambo la kufanya nusu saa ni lazima liwe lisaa hawa wahindi ni majanga!!Nimeamua nihamie voda licha ya wizi wao lakini mambo iko faster.
 
Watu tumlihama muda sana, tigo majanga kama jina lake lilivyo, natumia zantel, ipo speed sana
 
Tigo ipo vizur sasa we tumia mtandao wenye kasi smile your with tigo
 
Wadau hawa jamma wa Tigo vipi?. Yaani huku milima ya Dar es Salaam ni janga.

Au Satellite yao imedondoka au imepigwa JAM GEAR?
Mimi nipo mwanza jiji (bugarika). Internet ya tigo na zantel ni ya kizamani. Wanatumia EDGE. Voda na airtel wanatumia 3G. Laini ya tigo na zantel nilishatupa chooni long time
 
Back
Top Bottom