hahahah mapenzi hayana uchafu, ila porn zinawaharibu sana vijana jamani,. sasa wewe uzaliwe migombani kwetu kule kweli leo hii upewe mtihani kama huo si unaweza kutangazia ukoo maajabu hayo?? anyway kamulia strawberry utazoea tu mwanzo mgumu...mapenzi matamu si ya kutesana wala, ni kuelezana hisia zetu na kuwekana wazi, we mwambie vile unajisikia, kama haupo comfy mwambie kwani mapenzi si maigizo ndugu, bali ni kufanya kile moyo wako unachojisikia kufanya na kuacha kile usichotaka.NB oral sex is dangerous hasa kwa mpenzi asiye mwaminifu,otherwise, unapoexpos mada yako basi uwe makini kwani humu JF wapo watu wa rika mbalimbali so tumia hata tafsida where necessary.