Habari wakuu mm ni kijana mtanashati ninaye jipenda na mwenye adabu ya hali ya juu sana ila nilibahatika kumpata msichana mrembo sana nae ni mtu makini sana basi ktk mahusiano yetu kitu ambacho kina nipa chida ni kwamba mpenzi wangu anapenda sana niingie chumvini ili hali mm nna kitu kama kichefu chefu andapo nilisikia harufu ya ngozi ile kwani nakuwa natema mate sana yani ninvyoandika huu uzi natema mate saaaana full kutapika nashindwa kumtel kuwa napata tabu nikila hii mong'oo yake kama jana kanilazimisha mpaka tundu la nyuma nilambe basi hapo ndo imekuwa balaa kwani sina raha nae kwani nahisi kuwa naweza pata madhara ya mdomo. Ushauri wakuu kwani nampenda ila kula mong'oo hapaana jamani