Tigo

Tigo

Voda nao jana walinikera!
Nikaona sms ya M-pesa, niliruka sana kuifungua huku nikiwa nawaza moyoni nani kanikumbuka mie na hali mie ndie ninayetegemewa na ukoo wangu niuze mama lishe nisaidie ndugu na jamaa!!
Kufungua nakutana na neno 236.00 imethibitisha kutoka M-Pesa Faida. Agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Hahahahahaha umetibuka kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanajua kutuweza mbuzi hawa
 
Nadiriki kuwaita washenzi kabisa, wamenitumia ujumbe huu mchana huu

Bado washindi watano wanatafutwa kwa ajili ya safari ya Misri kuishangilia Taifa Stars. Tembelea www.tigosports.co.tz au tuma SOKA kwenda 15670 kwa Tsh100/SMS
 
Sasa unapata OFA NZURI kwa ajili yako katika Menyu ya SAIZI YAKO! Ofa zilizoboreshwa kukidhi mahitaji yako yote ya mawasiliano. Piga *148*00# chagua SAIZI YAKO
 
Back
Top Bottom