Kama Tigo waliletewa tu nyimbo na kampuni ingine kwann wao walipe deni?? hapo na wao Tigo wawafungulie wale mashtaka ikiwezekana Wasanii waongee na hiyo kampuni iliyowadhulumu na sio Tigo.
Nyimbo zenyewe zimechezwa mara ngapi, eti usije mjini sijui dakika moja hahaha
so pathetic.
TIGO LAZIMA WATALIPA DENI. KAMPUNI ILIYOCHEZA NYIMBO CYO CELULANT NI TGO, KATIKA HALI YA KAWAIDA, CELULANT WATAWAJIBIKA TGO, NA TGO WANAWAJIBIKA KWENYE DENI
TGO, HZ MIAMIA MNAZOKATA BILA 7BU KWENYE CMU ZE2 MNASHNDWAJE KULIPA DENI
Ha haa.. Kumbe bado hawajalipwa? Ndio maana ndoa ya AY imekwama.. Maskini kale kadada kalifosi uchumba wa haraka haraka kaje kula bilioni ya AY naona sasa kameangukia pua.