Tigo wezi

Tigo wezi

gwijimimi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2011
Posts
7,344
Reaction score
3,616
tiGo hawajawahi kuacha kuonesha maajabu aisee...

unaweka 'jero' kwa simu yako ambayo haina internet (data off), haujapiga na hata kutuma SMS, lakini Salio linakwisha kwa mnunurisho..

Jamaa mwingine alijiunga kifurushi cha hawa jamaa.., ili apate dakika, akapewa na 20MB..., ajabu iliyoje, yeye anatumia NOKIA YA BUTTON (Torch) lakini anapewa ujumbe kwamba amebakiwa na 5MB

Jamaa siwawezii..
 
Wanazingua hadi Tigopesa, ukikosea tuma hela ukipiga tu simu wanakuzingua hawakupi wala nn, itakua ukiacha wanao force wanai ilA
 
Back
Top Bottom