Kuna mtatizo ya kiufundi yametokea Mwanza ambapo wateja wetu hawawezi kupiga wala kupokea simu. Kwa sasa wanaweza kupiga Tigo kwenda Tigo. Mafundi wetu bado wanashughulikia kutatua tatizo haraka iwezekanavyo. Samahani kwa usumbufu.
Mkuu ni kweli hata Kigoma mitandao ya Tigo na Voda ilikuwa haipatikani jana. Leo pia Voda haipatikani. Hatuwezi kutuma sms, kujua salio! Sina uhakika na Mpesa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.