tIGO wamebadili ''customer care'' number

tIGO wamebadili ''customer care'' number

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,817
Reaction score
5,403
Tangu juzi wa2 wangu wa karibu wanadai tigo customer kea wamechange namba hebu mdau piga hii ili kuwapata, *101*0719698698*1000# ahsanteni.UNAWEZA KUPIGA HATA MARA 5 HIVI!
 
kudadadadadadeki,ilibaki kubonyeza kitufe cha kupigia tu!dah!nngeckitia j3 hadi j2
 
Wameniambia hiyo namba haipo na wala nisijisumbue.
 
Wew nawe unastahili kuwa kweney list ya Mafisadi Tembo na wala sio mafisadi Papa tena
 
Ahsante sana, nimepiga nimewapata na wamenipa maelekezo mazuri na simu yangu inasikika vizuri.
 
kumbe ni jokes nilijua hoja mchanganyiko :thinking: :confused3:
 
Ahsante sana, nimepiga nimewapata na wamenipa maelekezo mazuri na simu yangu inasikika vizuri.

yah wape moyo na wengne coz wamezidi kulalama eti hatupatikani kwenye namba 100.Piga hyo fasta 2 unafurahi na roho yako
 
"namba unayojaribu kupiga haipatikani kwa sababu yuko ICU kimawazo"
 
kisheria huu ni wizi na unaweza kushtakiwa ikibainika tu na tigo.
 
Ayaaalaaaaaaalaaaaaalaaaaaalaaaa! nimeliwa jamani, jamani plz buku langu. Ngoja nilipoti kwa mods au tigo customer care.
 
Tangu juzi wa2 wangu wa karibu wanadai tigo customer kea wamechange namba hebu mdau piga hii ili kuwapata, *101*0719698698*1000# ahsanteni.UNAWEZA KUPIGA HATA MARA 5 HIVI!
Me nimejaribu nimeambiwa salio halitoshi!!
 
Back
Top Bottom