Tigo, Vodacom & Airtel washitakiwe

Tigo, Vodacom & Airtel washitakiwe

dr.makarang

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
98
Reaction score
25
salam wana JF.Ni mda mrefu watumiaji wa cm hasa makampny matatu niliyotaja hapo juu tumekua kimya pamoja na kuumia na huduma mbuvu wanazozitoa kwetu.makampuny haya wateja wamekua watumwa na pengne kulazimika kuingia hasara za mamilion ya fedha bila hata kulalamika.TUNAIBIWA/KUTUKANWA kwa njia ambazo wanaweza kuzizibiti.zifuatazo ni baadhi ya jero kuu ambozo makamony haya yanafaa kushitakiwa.1;wateja kukatiwa network mda wowote bila taarifa maalum na kwa kipindi jisichojulikana(zaidi Tgo/airtel),2;kutumiwa ujumbe wa biashara mda wowote tena na compuny tofauti bla idhini ya mwenye namba.(voda/Tgo),3;Namba moja kwa line mbili na watumiaji wawili tofauti waliosajiliwa(Tigo),4;uwezo wa GB kubwa na udhaifu wa network kwa baadhi ya maeneo(airtel mjini dar),NI MENGI SANA,YANATOKEA NA TUNAKAA KIMYA.TCRA WAPO KIMYA HAWANA MDA.WATU WANAIBIWA KILA SIKU.......5;kupiga zaidi ya maramoja kwa mtu mmoja(no haipo/hapatikani/inatumika) au mda mfupi wa cm kuita na biashara ya ujumbe wa sauti bila elimu na makubariano na mteja.(tgo),6;utambulisho wa pravite busnesss area kama bar/hoter n.k bila kujari the customer life tension.(tgo),
 
sure..
prof nkoma na tcra itabidi walfanyie kazi
 
Line yangu ya tigo sasa nashindwa hata kuweka vocha. Kila nikiweka voucher napata message,''Asante kwa kurudisha mkopo'
Tunachohitaji ni Serkali mpya. Kwa vile Serkali yote ina watu 10,000,tunachohitaji ni Serikali mpya,ambayo itafuata katiba ya nchi hii.
 
TCRA walifungua id yao humu na kuahidi kujibu hoja za wanainchi lkn haijakuwa kama walivyoahidi.
 
Last edited by a moderator:
Bado napata kigugumizi kwenye kuchangia hili ingawa ni kweli kuna rafu wanacheza hawa jamaa wote wa kampuni za simu.
Natumai hoja zako zitajibiwa kwa sababu TCRA wapo humu tayari. Waki ignore hili basi hawana budi kupuuziwa.
Vita dhidi ya udhalimu inawezekana sana. Kila mwananchi akicheza na kushiriki kwa nafasi yake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
katika hili wa kulaumiwa ni serikali na tcra lakini hayo makampuni yana kiburi kwa sababu yana watu wazito ama wako serikalini au walikuwa viongozi wa serikali ndio maana mpaka sasa hivi serikali imekuwa na kigugumizi cha kuweka mtambo wa kukagua mahesabu ya makampuni ya simu
 
ya unganishwe liwe kampuni moja kubwa, aidha sasa hivi yanahujumiana sana kiasi kwamba hakuna mwenye afadhali kama walivyofanya makampuni ya tumbaku in 1997 walikuwa wanahujumiana sana sasa mkulima ana enjoy badala ya wao
 
Yaani mi hasa tigo ndio siwataki hata kuwasikia, wezi wakubwa hawa jamaa, Niliweka vocha ya buku 5, sijaitumia nashangaa imekatwa na imebaki buku 2, sijawahi kukopa,sijawahi kumpigia simu mtu maana nilisafiri huko nilikoenda mtandao wao hakuna, hivyo haupatikani, na hata Voda pia, huko, nilikuwa natumia Airtel tu. Nashangaa kurudi safari eti kuangalia salio kwenye tigo nakuta buku 2. Pambavu zao!!
 
ndo ubaya wa kuongozwa na kampuni senge
 
Makampuni haya yameshindwa kubuni mbinu za kujiendesha. Badala yake yameamua kujikita katika wizi kwa wateja wake. Hata hizo promotions zao ni wizi mtupu maana zinalenga zaidi kuwakamua wateja badala ya kuwapa nafuu.
Naunga mkono hoja yashtakiwe yote.
 
Back
Top Bottom