Tigo Vipi Jamani.....

Tigo Vipi Jamani.....

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2008
Posts
680
Reaction score
168
Hii kitu haifanyi kazi leo nzima,wakuu shughuli zinakwama mtaani.
 
Mbona wengine tukipiga zinatoka fresh.
 
We wa ukwel km vp wajongee Voda ya nin kushikilia mitandao isiy na uhakik wa mawasiliano?
 
mkuu jaribu kuzima cm yako na kuwasha tena inatokeaga sana kwa tgo na mitandao mingine maumivu yakizidi karibu zantel
 
Yeah, tiGO wamekuwa kimeo cku hz. Mtu anaweya asizime simu afu ukaambiwa hapatikani. Mpaka kichefuchefu yani!
 
mi nimehama tigo jamani, mtandao unasumbua mbaya hata haufai, nakumbuka kale kamsemo ka nafuu gharama
 
Kwani amekwambia simu ndio inamatatizo au Tigo yake?

tigo yake aina tatizo soma maelezo vzuri mkuu na nimemanisha nilichokisema some time cm zinastack kiaina ukizima na kuwasha unakuwa kama umerestart inaanza a fresh mm inanitokea sana
 
yp.tigo sometime inazingua..ila what to do!ndo the most cheap one n most of people wanatumia tgo!
 
labda tuwape malalamiko tigo juu ya usumbufu huu unaotokea sometimes.
 
Back
Top Bottom