Tigo Unlimited Speed

Tuache utan, voda wananifurahisha sanaa (sio promo).. kifurush cha buku cha unlimited net jumlisha VPN isee utamu wa spidi ni hatari!! af sasa hakuna cha kupungikiwa speed wala nini nimedownload ma file ya gb 1 na mb 900...pia nimestream shows za mtv awards kwa mda mref bila kukwama kwama
 

[TABLE="width: 522"]
[TR]
[TD="width: 508, bgcolor: #ffffff, colspan: 5"]
UNLIMITED SPEED DATA PACKAGES​
​
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100, bgcolor: #538dd5"]
PACKAGE NAME​
​
​
[/TD]
[TD="width: 52, bgcolor: #538dd5"]
VOLUME​
​
​
[/TD]
[TD="width: 178, bgcolor: #538dd5"]VALIDITY
[/TD]
[TD="width: 40, bgcolor: #538dd5"]
PRICE​
​
​
[/TD]
[TD="width: 82, bgcolor: #538dd5"]SUBSCRIPTION
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100, bgcolor: #ffffff"]
DAY​
​
​
[/TD]
[TD="width: 52, bgcolor: #ffffff"]
1 GB​
​
​
[/TD]
[TD="width: 178, bgcolor: #ffffff"]24HRS
[/TD]
[TD="width: 40, bgcolor: #ffffff"]
999​
​
​
[/TD]
[TD="width: 82, bgcolor: #ffffff"]
*148*00#
*148*01#
*148*80#
​
​
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100, bgcolor: #ffffff"]
WEEK​
​
​
[/TD]
[TD="width: 52, bgcolor: #ffffff"]
10 GB​
​
​
[/TD]
[TD="width: 178, bgcolor: #ffffff"]7 DAYS
[/TD]
[TD="width: 40, bgcolor: #ffffff"]
6000​
​
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100, bgcolor: #ffffff"]
MONTH​
​
​
[/TD]
[TD="width: 52, bgcolor: #ffffff"]
35 GB​
​
​
[/TD]
[TD="width: 178, bgcolor: #ffffff"]30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 40, bgcolor: #ffffff"]
20,000​
​
​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100, bgcolor: #ffffff"]
NIGHT UNLIMITED​
​
​
[/TD]
[TD="width: 52, bgcolor: #ffffff"]
30 GB​
​
​
[/TD]
[TD="width: 178, bgcolor: #ffffff"]Use between 11pm-5am in 3 NIGHTS
[/TD]
[TD="width: 40, bgcolor: #ffffff"]
1,000​
​
​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Tuache utan, voda wananifurahisha sanaa (sio promo).. kifurush cha buku cha unlimited net jumlisha VPN isee utamu wa spidi ni hatari!! af sasa hakuna cha kupungikiwa speed wala nini nimedownload ma file ya gb 1 na mb 900...

Speed mpaka ngapi unapata na hiyo VPN baada ya kuletewa message kwamba kifurushi kimekata
 
speed imegonga had 4Mbps kwenye dashboard ya mobile patner.. mara nyingi nilikua naishia 2Mbps ila baada ya kupata ushauri humu kuhusu VPN now nimejifunza what 2 do.. shukran wakuu

Speed mpaka ngapi unapata na hiyo VPN baada ya kuletewa message kwamba kifurushi kimekata
 
tigo majanga hakuna kitu,nimenunua kifurushi cha wiki 10GB nimedownload movies 2 tu za GB1 kila moja speed imekata ,nikanunua tena 10GB ,movi 2 no speed,nikanunua tena yaani kwa wiki nimenunua GB30 lakini hakuna nilichofanya ,leo tena nimeweka 1GB ndiyo speed inapanda,sijui wao ndiyo wajinga au mimi ndiyo mjinga ila poa tu
 
kwa sasa tigo wametisha sana, vile vya gb 1 viko spidi ya kasi ajabu nilidownload movie ya mb 700 kwa dakika kumi na 15,

ila cha wiki cha gb 10 kilianza kama cha gb moja ila naona wiki inavyoelekea kuisha kama kina zingua, ila on average wako poa jamaa
Approved 100% by C6

Voda wameniboa sana nimeamua kutemana nao, najiunga kifurushi cha usiku hata kufungua page nashindwa
dakika za vifurushi mara wanazipunguza mara mtandao unazingua ni shida sana :thumbdown:

hawa airtel najiunga kwenye simu ni kweli whatsapp na fb na twitter zinatinga ukijiunga ila nao spidi yao ya kawaida sana, kwa simu haina noma sana

conclusion: wakati nachapa commet hii leo tarehe 3 mwezi wa saba 2014, Tigo wame go crazyyyyyyyyyyyyyyyy, ndoa yetu itadumu mpaka watakapoboronga, au atakapotokea mpinzani mwenye nguvu zaidi
 



Pia tigo wa kifurushi cha mia 999 kwa 1gb.

Pia wameskia kilio chetu, hawa airtel huwa ni wajinga muda mwinginr huwa wanaiga kwa voda.

Yaani wanashindwa kufanya kufuru ili imanyanganye voda wateja et yanalet aliance.

Ila somtim yatosha wana maeneo yao wako smart sana.
 



mimi kuna airtel na zantel hawa jamaa huwa najiuliza marketing depatrment zao sijui wanafanya nini zantel wa speed nzuri lakini bundle zao majanga unlimited laki tatu hafadhali niunge tigo mara tatu ya mwezi kwa 60000 na gb 100 na mkwanje mrefu unabaki tuje airtel kwa gb 20 laki mbili zantel na airtel na bol wankuja hiyo 4g kwa siku unlimited 1000 huwaga na kaa najiuliza nani ananunu vifurish vyenu mabalozi wazee wa epa escrow kweli net bongo anasa
 
 

UnakipTaje hiko cha siku tatu gb 30 kwa tgo???? Mkuu
 
Gb 11 overnight na mtandao gani siwezi sema maana kuna muda watu walitibua no vpn wala nini ni ujanja tu...
 
hiyo ya tigo huduma ya 1000 siku 3, unapakua mafaili au ni ya kubrowse tuu net

Tigo wamebadili muelekeo wa vifurushi vya intaneti kuna ya masaa 24 kwa TZS 1000 ambayo ni 1GB na speed ileile mimi nashusha youtube ,video kibao tena si kwa kutumia IDM bali Antdownload ambayo ipo slow,pia ipo ya GB 38 kama sijakosea ambayo ni ya usiku kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 asubuhi kwa siku 3 mfululizo.Kwangu mimi nawashukuru Tigo kwani najisomea online na naweza kushusha material kibao kupitia Youtube .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…