Tigo tafadhali tuheshimuni kama wateja

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
1,962
Reaction score
1,622
Habari wote,

Huu mtandao wa simu umekua na kero nyingi sana,

Kwa sasa ni hili jambo la kumpigia simu mtu kisha wao wanakuwekea tangazo la biashara kisha ndio wanakwambia kuwa anapatikana, anatumika au hapatikani.
Yaani jambo la msingi na la kwanza lililosabababisha niweke vocha wenyewe wanalifanya la mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…