kichuminyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 234
- 173
Asante ngoja nijaribuNamba yao ya kuwapigia Tanesco; 0784 768584. Lakini muda wote ipo buys na hata ukiwapata watakuambia usubiri tu utatumiwa,mie nimechoka mwenyewe kuwapigia pigia maana nilinunua umeme toka tarehe 28/4 hadi leo bado.
Wanadai hela washatuma Tanesco, yaani ni shiiiiiidahWapigie watakurudishia pesa, mimi nilikaa more than 24Hrs nikawapigia wakarudisha
Bora tigo hayajakukuta ya Voda.
Mkkuu ungetusaidia kutuwekea hizo namba maana wengi tumeliwa pesa bila token hasa wakati ule wa matatizo ya mtandao pesa zilkwenda bila tokeni labda tungejua tungeziokoaMkuu, jaribu kutembelea tanesco iliyokaribu nawe, kuna namba zipo kwenye mbao zao za matangazo, yaan kama umenunua umeme kwa njia ya cm kama we, kama token hazijatumwa, ukipiga hiyo namba wanakusomea on the spot