Tigo pesa till

Tigo pesa till

MADESI

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
27
Reaction score
7
wapenzi jamii forum!
Habari zenu! Yaani huu urasimu wa tigo company kupata line ya tigo pesa du! naombeni mtu anayeweza kunisaidia kupata line ya tigo pesa nitashukuru sana.
Kwa mawasiliano
0656167979
 
Awatoi siku hzi wanatoleana wenyewe wafanyakazi kwa deal alafu wanakuja kuzilangua huku, au wanawanyang'anya wale wateja waliozichukua siku nyingi alafu awafanyi biashara au wamefunga then wanakuja kutulangua huku..! M


Sent from my iPhone
 
Mkuu usinunue line mkononi itakula kwako
 
Back
Top Bottom