ashbuton grove
Member
- Aug 27, 2013
- 68
- 4
Nauza line ya tigopesa na mpesa nipo dar,sababu ya kuuza nilizinunua na muda huu sizihitaji tena,namba hiyo hapo fursa hiyo 0689626886
Nauza line ya tigopesa na mpesa nipo dar,sababu ya kuuza nilizinunua na muda huu sizihitaji tena,namba hiyo hapo fursa hiyo 0689626886
Kwa nini usiwarudishe wenyewe wakupe pesa yako?
ni bei gani nisijisumbue kupiga simu. Kuna mmoja alitoa tangazo kama hili hapa nikapiga simu akaniambia anaziuza 900,000/= nikajuta kupiga simu. Usione aibu ya kuweka bei we weka tu aliye ridhika na hizo bei atapiga simu ambaye hajariddika ndio hivyo tena.
usiogope unakaribishwa
sasa wewe mbona unaogopa kuweka bei??????
laini ziko mbili ya voda na tigo kama unahitaji namba hiyo hapo
Mbona jambo dogo tu mkuu! tunajua una laini mbili voda na tigo, Mlachake amekuomba uweke bei. Huoni kwamba watakaokutafuta baada ya kuweka bei ni wale tu ambao wako serious na watamudu hizo bei?
Thanks
mimi aliniambia sh700,000/- nikamuulkiza na mtaji wa kuanzia? wabongo bwana, very disastrous!🙂ni bei gani nisijisumbue kupiga simu. Kuna mmoja alitoa tangazo kama hili hapa nikapiga simu akaniambia anaziuza 900,000/= nikajuta kupiga simu. Usione aibu ya kuweka bei we weka tu aliye ridhika na hizo bei atapiga simu ambaye hajariddika ndio hivyo tena.
mimi aliniambia sh700,000/- nikamuulkiza na mtaji wa kuanzia? wabongo bwana, very disastrous!🙂
kwa zote nilinunua milioni
Ok, wewe unauza Sh ngapi sasa, na unauza kwa zote au mojamoja? Hivyo ndio biashara inavyoenda mkuu. Yaani unatoa maelezo yenye kujitosheleza hadi unamshawishi mtu kununua bidhaa yako.
Kwa kesi yetu.
Ungesema unauza kila moja kiasi gani na kuna maelewano au bei uliyotaja hapo ndio kikomo. Una vielelezo vinavyoonyesha kwamba wewe ni mmiliki halali wa hizo laini?
Ubarikiwe mkuu