Tigo Pesa na M-Pesa line kwa bei poa

Tigo Pesa na M-Pesa line kwa bei poa

stepper

Senior Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
112
Reaction score
56
Nauza line zaTigo Pesa na M-Pesa. Jumla zipo 6 : Tigo Pesa line-2, M-Pesa line-2, M-Pesa head office -1 , M-Pesa second sim -1 . Nauza zote kwa pamoja 1,500,000 kwa sababu M-Pesa till zimeunganishwa pamoja zinatumia second sim moja na kamisheni Vodacom wanatuma pamoja kwa ajiri ya zote till mbili. Line za Tigo zimesajiliwa kwa majina yangu na wife na M-Pesa imesajiliwa kwa jina la kampuni yangu na ziko chini ya Vodacomm moja kwa moja sio kwa kupitia super dealer . Nimezitumia miaka mitatu na ni safi kabisa. Nmekosa msimamizi muaminifu ndio mana nimeamua kuacha biashara 0653 967 510 kama unahitaji . No chancers please

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom