Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
Habari waungwana,
Ama baada ya salaam kuna kitu nimeona nisijadili peke yangu, niwashirikishe nanyi ili afadhali michango yenu itasaidia kwenye hili niweze kujua ni wapi pa kuanzia. Ni hivi, asubuhi saa 12:45 nilipokea msg kutoka tigo pesa wakati sijafanya muamala wowote ikinielezea kuwa nihakikishe nina muamala wa kutosha kisha nijaribu tena nikapuuzia maana nilikuwa natoka usingizini, hivyo nilihisi labda mawenge yangu tu. Sasa na jioni hii saa 12:45 ile msg imekuja tena ikinitaka vile vile nihakikishe nina muamala wa kutosha kisha nijaribu tena. Simu yangu kila sehemu ina password. Jamani tigopesa kulikoni au kuna mjinga anatekenya betri lakini hamna kitu??