J Jaylee Member Joined Apr 15, 2009 Posts 66 Reaction score 96 Apr 8, 2021 #1 Leo ni siku ya 3 huduma hii hapatikani, tatizo ni nini hasa?
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,016 Reaction score 16,811 Apr 8, 2021 #2 Jaylee said: Leo ni siku ya 3 huduma hii hapatikani, tatizo ni nini hasa? Click to expand... Una Demu nini anayekudai Fedha yake?
Jaylee said: Leo ni siku ya 3 huduma hii hapatikani, tatizo ni nini hasa? Click to expand... Una Demu nini anayekudai Fedha yake?
J Jaylee Member Joined Apr 15, 2009 Posts 66 Reaction score 96 Apr 8, 2021 Thread starter #3 Baadhi yetu tunategemea huduma hii kwa biashara tunazozifanya. Wewe unawazia madem. Kweli mapunguani mko wengi
Baadhi yetu tunategemea huduma hii kwa biashara tunazozifanya. Wewe unawazia madem. Kweli mapunguani mko wengi
dadaake JF-Expert Member Joined Jan 10, 2017 Posts 1,126 Reaction score 1,122 Apr 8, 2021 #4 Jaylee said: Leo ni siku ya 3 huduma hii hapatikani, tatizo ni nini hasa? Click to expand... Kuna muda usiku huduma ilirejeaaa asbh tena imekata naona kuna kitu kinawasumbua uko kwa system tuwe na subra
Jaylee said: Leo ni siku ya 3 huduma hii hapatikani, tatizo ni nini hasa? Click to expand... Kuna muda usiku huduma ilirejeaaa asbh tena imekata naona kuna kitu kinawasumbua uko kwa system tuwe na subra
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,340 Apr 8, 2021 #5 Nashukuru hili tatizo la kiufundi limeniokoa na mizinga mingi, ikiwapendeza liendelee kwa siku kadhaa.
Nashukuru hili tatizo la kiufundi limeniokoa na mizinga mingi, ikiwapendeza liendelee kwa siku kadhaa.
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Apr 8, 2021 #6 Ncha Kali said: Nashukuru hili tatizo la kiufundi limeniokoa na mizinga mingi, ikiwapendeza liendelee kwa siku kadhaa. Click to expand... Hahahaahaha
Ncha Kali said: Nashukuru hili tatizo la kiufundi limeniokoa na mizinga mingi, ikiwapendeza liendelee kwa siku kadhaa. Click to expand... Hahahaahaha
zig-zag Member Joined Apr 6, 2019 Posts 16 Reaction score 32 Apr 8, 2021 #7 Tigo wanaenda siku ya 3 leo,huduma ya tigo pesa haipatikani.Isije ikawa records zote zimefutika hawajui nani na nani balance yao ilikuwa sh ngapi...
Tigo wanaenda siku ya 3 leo,huduma ya tigo pesa haipatikani.Isije ikawa records zote zimefutika hawajui nani na nani balance yao ilikuwa sh ngapi...
911sep11 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,469 Reaction score 4,306 Apr 8, 2021 #8 Yani IT wao kurejesha vifurushi vya awali yeye kaenda kuchokonoa tigopesa sasa kibubu chote nasikia kimehamishwa na wajanja.
Yani IT wao kurejesha vifurushi vya awali yeye kaenda kuchokonoa tigopesa sasa kibubu chote nasikia kimehamishwa na wajanja.
zig-zag Member Joined Apr 6, 2019 Posts 16 Reaction score 32 Apr 8, 2021 #9 Yaani wakisema tujaze form tuandike balance za mwisho, mie mbona nna b1
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 8, 2021 #10 911sep11 said: Yani IT wao kurejesha vifurushi vya awali yeye kaenda kuchokonoa tigopesa sasa kibubu chote nasikia kimehamishwa na wajanja Click to expand...
911sep11 said: Yani IT wao kurejesha vifurushi vya awali yeye kaenda kuchokonoa tigopesa sasa kibubu chote nasikia kimehamishwa na wajanja Click to expand...
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 8, 2021 #11 Wajisahau wafute data za tigo nivushe
W Waaai JF-Expert Member Joined Jan 14, 2021 Posts 1,293 Reaction score 2,645 Apr 8, 2021 #12 Hiyo si rahisi hata kidogo sababu ya Back up plans. Halafu huduma nadhani zimerudi
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,837 Apr 8, 2021 #13 Hata T -Pesa ya TTCL karibia wiki sasa haipatikani. Isijekuwa hujuma baada ya kukataliwa kupandisha bei za vifurushi au ? Yani wanakera sana. Inachelewesha maendeleo
Hata T -Pesa ya TTCL karibia wiki sasa haipatikani. Isijekuwa hujuma baada ya kukataliwa kupandisha bei za vifurushi au ? Yani wanakera sana. Inachelewesha maendeleo
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,803 Reaction score 55,605 Apr 8, 2021 #14 911sep11 said: Yani IT wao kurejesha vifurushi vya awali yeye kaenda kuchokonoa tigopesa sasa kibubu chote nasikia kimehamishwa na wajanja. Click to expand... π π π
911sep11 said: Yani IT wao kurejesha vifurushi vya awali yeye kaenda kuchokonoa tigopesa sasa kibubu chote nasikia kimehamishwa na wajanja. Click to expand... π π π
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,295 Reaction score 89,397 Apr 8, 2021 #15 Ila comments za humu zinafurahisha sana.
Cpp JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1,229 Reaction score 2,467 Apr 8, 2021 #16 Naona imeanza kufanya kazi mida hii
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,790 Reaction score 86,536 Apr 8, 2021 #17 Haya mamitandao sikuhizi yamekuwa Kama mashirika tu ya wapiga punye.. huku halotel spidi ya internet Kama mtu anaenda kukata roho! Yani wanashindwa spidi hata na mtu anaeenda kuhara!!
Haya mamitandao sikuhizi yamekuwa Kama mashirika tu ya wapiga punye.. huku halotel spidi ya internet Kama mtu anaenda kukata roho! Yani wanashindwa spidi hata na mtu anaeenda kuhara!!
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,713 Reaction score 32,492 Apr 8, 2021 #18 Ila hata tigo pesa ya vodacom nayo inasumbua
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Apr 8, 2021 #19 Waaai said: Hiyo si rahisi hata kidogo sababu ya Back up plans. Halafu huduma nadhani zimerudi Click to expand... Wabongo huwa hawana akili.... wanachochea vitu vya kijinga....alafu utashangaa uzi unataambaa kwa kasi... kumbe huduma zilisharudi
Waaai said: Hiyo si rahisi hata kidogo sababu ya Back up plans. Halafu huduma nadhani zimerudi Click to expand... Wabongo huwa hawana akili.... wanachochea vitu vya kijinga....alafu utashangaa uzi unataambaa kwa kasi... kumbe huduma zilisharudi
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,970 Reaction score 9,901 Apr 8, 2021 #20 Huduma zisharudi jamani,