nkosikazi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2010
- 361
- 336
Pamoja na kwamba Tigo ndio mtandao aghali kuliko yote Tanzania (nina sim cards za mitandao yote) na pia ukilipia bundle zao muda wanauiba. Ukilipia 50 minutes wanakukata 20 minutes na wanakwambia muda umeisha. Hayo hawafanyi mara moja, bali mara chungu nzima.