Pole mkuu mimi Airtel jana wamenipiga juu kwa juu, nimehamisha pesa kutoka mastercard kuja airtel money kwenye akaunti imekatwa lakini sikuipokea. Kuwacheki eti wananiambia niwasiliane na DPO yani kampuni inayo handle miamala yao ya mastercard na visa transfers utadhani mimi ndio nimeingia mkataba nao. Ikabidi niwasiliane nao kweli wakanitumia hadi receipt kuwa muamala umeenda airtrl, airtel wao wamadai hawajauona.Habari wakuu!! Leo kwenye mida ya Saa tano,niliweka vocha ya tsh 20000, nikajiunga Kifurushi cha mwezi cha tsh 15000 ambapo walinipatia Dak 850,GB 5.5 Na Sms 500. Kabla ya kujiunga nilikuwa na GB 3,hivyo jumla nikawa na GB 8 na hizo dak pamoja na Salio lililobaki la Tsh 5000. Cha Ajabu after 2 hrs najaribu kumpigia mtu naambiwa Salio hamna🤔🤔kweli nilipoangalia nikakuta 0 kwenye Salio la kawaida,sms 0,mb 0 na Dak pia! Najaribu kuwapigia Lakini simu hawapokei. Naomba Mwongozo wa namna ya kufuatilia
Kama ni hela kubwa,naomba uifuatiliePole mkuu mimi Airtel jana wamenipiga juu kwa juu, nimehamisha pesa kutoka mastercard kuja airtel money kwenye akaunti imekatwa lakini sikuipokea. Kuwacheki eti wananiambia niwasiliane na DPO yani kampuni inayo handle miamala yao ya mastercard na visa transfers utadhani mimi ndio nimeingia mkataba nao. Ikabidi niwasiliane nao kweli wakanitumia hadi receipt kuwa muamala umeenda airtrl, airtel wao wamadai hawajauona.
Imenibidi niache tu.
hahahahahaha, aiseeniwasiliane na DPO
Umemuelewa mtoa mada?!huwa siach hela kwwnye salio au kuunga kabla kingine hakijaisha.mamb ya kuja kjuambiw uliacha simu ina ji update imekula.hela
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Yani acha mkuu, huduma ni ya kwao kampuni wameingia nayo mkataba wao mimi nimeikuta tu kwenye airtel app, halafu likitokea tatizo eti mimi ndiye niwasiliane na DPO🤣hahahahahaha, aisee
inabidi nicheke tu
wana majibu mepesi kweli kwenye issue seriousYani acha mkuu, huduma ni ya kwao kampuni wameingia nayo mkataba wao mimi nimeikuta tu kwenye airtel app, halafu likitokea tatizo eti mimi ndiye niwasiliane na DPO🤣
Sema haikuwa pesa nyingi kihivyo ndo maana niliacha tu baada ya kuona wananipotezea mudawana majibu mepesi kweli kwenye issue serious
inakera sana
PotezeaHabari wakuu!! Leo kwenye mida ya Saa tano,niliweka vocha ya tsh 20000, nikajiunga Kifurushi cha mwezi cha tsh 15000 ambapo walinipatia Dak 850,GB 5.5 Na Sms 500. Kabla ya kujiunga nilikuwa na GB 3,hivyo jumla nikawa na GB 8 na hizo dak pamoja na Salio lililobaki la Tsh 5000. Cha Ajabu after 2 hrs najaribu kumpigia mtu naambiwa Salio hamna🤔🤔kweli nilipoangalia nikakuta 0 kwenye Salio la kawaida,sms 0,mb 0 na Dak pia! Najaribu kuwapigia Lakini simu hawapokei. Naomba Mwongozo wa namna ya kufuatilia
Watairudisha kama ndo tabia yaohao tigo mi nimeshagombana nao sana, yaan hii kampuni tangu ilipobinafsishwa imekuwa kwikwi sana
kuna wakati minwalikuwa wananikata mb zangu bila hata mpangilio
halafu matokeo yake ukiwapigia hawapokei ikabidi niwafuate kwenye page yao ya facebook nika complain hatar
wakanipigia, yaan taarifa walizokuwa wananipa utadhini sio wataalam kabisa wa kazi yao
social network zote nili log out na nyingine nili disable, brawser zote nili dis able kwaiyo hakukuwa na apps zozote zinazo run
cha ajabu wananiambia eti siku close zile site zilizokuwa naingia nikaona kweli hawa vilaza
we nome close kila kitu eti wanasema sija close
ndio nikaona hawa kweli akili hakuna
inshort tigo ni wezi sana