tiGO mtavunja ndoa za watu!


hilo tatizo pia lilinitokea kama wiki moja iliyopita nikaripoti tigo makao makuu Moshi. Leo asubuhi wamenirudishia salio langu.
 
hata 0kukuibia pia wanakuibia hapahapa tz
usihame mwaya utakuwa rewarded kwa
kuwapenda


Japo siku hizi wamezidiwa...na wizi ni mwingi. Siwezi hama ajili ya kupatikana nje ya nchi. Kwan nautumia nkiwa hapa hapa ndani ya nchi.
 
wanalipizia yale mameseji yao wanayotumaga
mpaka uko choo cha bar unaskia sms
unadhani ya maana ooh sijui ukitaka
midundo na blablablaa kibao
sasa ndo wanakata kufidia



i hate them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…