Hilo tangazo lipo youtube.....niliweka hapa nimefuta kwasababu itakuwa tunawatangazia Tigo bila malipo.Kwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.
Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la "nina mpango" kwa Runinga inakuwa ni hatari ....
Nina mpangoooo nina mpangoooo ----- nipe mpango...
yaani anadata kabisa; anashangilia kwa furaha kubwa haijalishi alikuwa kwenye mod gani; ngoma inasanuka pale tangazo linapokwisha inakuwa balaa; sebureni hapakaliki; atalia atalia ili tumwekee tena na mbaya zaidi anasusa kila kitu.
Sasa pamoja na pongezi kwenu najua mnapita pita humu basi niwekeeni hilo tangazo ni - download niwe namwekea hasa wakati wa kula maana ni mbishi hatari.
Natanguliza shukrani.
wabongo bana, mnawaza ngono tu - hivi mtaijenga kweli Tanzania ya viwanda?Dah hiyo title tigo wana mdatisha binti yako....haya hongereni tigo
ha ha ha, siyo kwamba ana akili kama za babake??Uyo mtoto ni mwehu
Wabongo wanawaza ngono?au wewe ndo unae waza ngono...sizani kama hapo juu kwenye wino wangu kuna kiambatanishi au sababu ambayo imekufanya wewe ugundue kuwa wabongo wanawaza ngono.[emoji846][emoji846]wabongo bana, mnawaza ngono tu - hivi mtaijenga kweli Tanzania ya viwanda?
ana umri gani?Kwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.
Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la "nina mpango" kwa Runinga inakuwa ni hatari ....
Nina mpangoooo nina mpangoooo ----- nipe mpango...
yaani anadata kabisa; anashangilia kwa furaha kubwa haijalishi alikuwa kwenye mod gani; ngoma inasanuka pale tangazo linapokwisha inakuwa balaa; sebureni hapakaliki; atalia atalia ili tumwekee tena na mbaya zaidi anasusa kila kitu.
Sasa pamoja na pongezi kwenu najua mnapita pita humu basi niwekeeni hilo tangazo ni - download niwe namwekea hasa wakati wa kula maana ni mbishi hatari.
Natanguliza shukrani.
mwaka mmoja na mweziana umri gani?
ana umri gani?
Kwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.
Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la "nina mpango" kwa Runinga inakuwa ni hatari ....
Nina mpangoooo nina mpangoooo ----- nipe mpango...
yaani anadata kabisa; anashangilia kwa furaha kubwa haijalishi alikuwa kwenye mod gani; ngoma inasanuka pale tangazo linapokwisha inakuwa balaa; sebureni hapakaliki; atalia atalia ili tumwekee tena na mbaya zaidi anasusa kila kitu.
Sasa pamoja na pongezi kwenu najua mnapita pita humu basi niwekeeni hilo tangazo ni - download niwe namwekea hasa wakati wa kula maana ni mbishi hatari.
Natanguliza shukrani.
huyu nae uzinzi2.Dah hiyo title tigo wana mdatisha binti yako....haya hongereni tigo
kama mwanangu . wangu ana mwaka na miezi saba.. akisikia hilo tangazo anaanza kucheza na yeyemwaka mmoja na mwezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] nimecheka sana mkuu kuona huu uzi, mwanangu ni wa miaka 3, sasa yeye huwa akisikia mdundo wa hii ili tangazo huwa anachanganyikiwa kabisa atasitisha shughuli zote,kimbembe juzi kati hivi alikua anakula mara pah tangazo hilo ehh katika kurukaruka akatapika na ni ngumu kumzui kucheza, tigo tangazo ni zuri ila watoto wetu tunawapenda zaidi punguzeni munkaliKwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.
Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la "nina mpango" kwa Runinga inakuwa ni hatari ....
Nina mpangoooo nina mpangoooo ----- nipe mpango...
yaani anadata kabisa; anashangilia kwa furaha kubwa haijalishi alikuwa kwenye mod gani; ngoma inasanuka pale tangazo linapokwisha inakuwa balaa; sebureni hapakaliki; atalia atalia ili tumwekee tena na mbaya zaidi anasusa kila kitu.
Sasa pamoja na pongezi kwenu najua mnapita pita humu basi niwekeeni hilo tangazo ni - download niwe namwekea hasa wakati wa kula maana ni mbishi hatari.
Natanguliza shukrani.
Haha bass mtoto wako ana nyotaEti mi mtoto wangu akimuona tu magufuli anaongea hataki nibadili chanel hadi analia!mwache mafuliii dadii mafuli huyooo