Tigo mnafeli wapi!?

Tigo mnafeli wapi!?

BABA NI CCM

Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
86
Reaction score
98
IMG_1744.JPG

Hili tangazo kuanzia audio iliyopo maredioni hadi picha pamoja na hali ya mjadala wa ushoga uliotawala taifa na dunia kwa sasa swali langu kwenu mtandao wa Tigo.

Tigo mnafeli wapi!?, ni kwamba mmekosa idara yenu ya masoko ipo wapi?, hivi hamna sera na kanuni za maadili?. Sawa mnaweza kusema ni biashara na uchekeshaji

Naomba baraza la sanaa, kamati ya maadili taifa pamoja na jumuiya yangu wa wazazi CCM embu mulikieni upya hili tangazo halina picha na jumbe nzuri kwa taifa letu.

Ikumbukwe hatufungii tu nyimbo zinazopotosha maadili bali hata haya matangazo na maigizo yanayokiuka maadili yetu ya asili ni yakufungia na faini juu. Hili liwe fundisho.
 
hata mimi hili tangazo sijalipenda, walileta kubandika ofisini kwangu nikalikataa, wakabandika lingine
 
View attachment 960615

Hili tangazo kuanzia audio iliyopo maredioni hadi picha pamoja na hali ya mjadala wa ushoga uliotawala taifa na dunia kwa sasa swali langu kwenu mtandao wa Tigo.

Tigo mnafeli wapi!?, ni kwamba mmekosa idara yenu ya masoko ipo wapi?, hivi hamna sera na kanuni za maadili?. Sawa mnaweza kusema ni biashara na uchekeshaji

Naomba baraza la sanaa, kamati ya maadili taifa pamoja na jumuiya yangu wa wazazi CCM embu mulikieni upya hili tangazo halina picha na jumbe nzuri kwa taifa letu.

Ikumbukwe hatufungii tu nyimbo zinazopotosha maadili bali hata haya matangazo na maigizo yanayokiuka maadili yetu ya asili ni yakufungia na faini juu. Hili liwe fundisho.

Mbona sijaona tatizo kwenye hilo tangazo au kuna shida kwenye audio na video
 
Sitaki kuamini Kama mtoa Mada ni kilaza namna hii yan unaacha kushinikiza serikali iangalie mambo ya msingi kama uchumi kuanguka na maswala mengine yenye tija unaanza kuleta Mada kitoto
 
Yaani nikisikia tu Tigo nawaza Amber Ruty huu mtandao hata utoe ofa ya kunipa huduma za mawasiliano bure milele siwezi kukubali.
 
Wabadili jina au sio?
Licha ya jina yaani sina mawazo nao hata kidogo. Niliwahi kukutana na mawakala wa Tigo nikawaambia wazi nachukia mtandao wenu pia huu upuuzi wa Joti kujigeuza jike kwenye matangazo yao hufanya nizidi kuuona wa ajabu.

Jina la Tigo lenyewe kwa sasa limekuwa kama tusi.
 
Kwani hamjui maana ya Tigo? ndio maana halisi ya tigo hiyo........yaani tigo tigo tiiiiigooooooo
 
Braza mtandao wenyewe ni tiGO, anafeli wapi unapoona haya matangazo. Hujui Amberuty aliliwa nini?
 
yap, nazingua kweli, wao wataletaje mipicha ya ajabu ajabu, ofisi yangu wanaingia watu na heshima zao
Picha sio issue, cha mhimu ni ujumbe unaokuwa kwenye tangazo hapo. Mfano, ongeza salio ushinde mamilion
 
sio kweli picha pia ni issue ya kwanza kuliko ujumbe mfano nikiandika ujumbe😱ngeza salio ushinde mamilion na picha nikaweka watu wana sex utaikubali kwa sababu ya ujumbe
 
Sitaki kuamini Kama mtoa Mada ni kilaza namna hii yan unaacha kushinikiza serikali iangalie mambo ya msingi kama uchumi kuanguka na maswala mengine yenye tija unaanza kuleta Mada kitoto

Maadili kwako si suala muhimu?, basi kama ni hivyo mkuu.
 
Picha sio issue, cha mhimu ni ujumbe unaokuwa kwenye tangazo hapo. Mfano, ongeza salio ushinde mamilion

Ukimkuta ndugu yako wa kiume kapiga picha kidada dada bado utasema picha siyo issue??
 
Back
Top Bottom