Na Mjasiria Akili aelewe hayo kuwa Internet ina mambo mengi si kuweka pesa na kusurf au kuDownloadukiwa na tigo ukitaka kununua kifurushi ni bora usiwe na salio kwani kifurushi chao kikiisha na salio lolote ulilo nalo linaisha
hilo swala la Tigo ni kizungu mkuti, tena umenikumbusha machungu kweli maana nimelizwa mara kibao natamani niachane nao hawa Tigo shida namba yangu niyamiaka mingi naweza kuathirika lakini ipo siku, baya zaidi hatuna mtetezi .
Na Mjasiria Akili aelewe hayo kuwa Internet ina mambo mengi si kuweka pesa na kusurf au kuDownload
Ni Mitandao yote tu lazima ununue muda kutokana na utakachokitaka. km ni Kudownload Xtreme park ya 499/= kwa 100Mb haitoshi zaidi ya hapo utadai kuibiwa
- Ukinunua Bundle yoyote ya siku au wiki ,ikiisha tu hela iliyobaki wanakata km hela
- UkiDownlod chochote wanakata Bundle yako ndani ya Dakika
- Maana katika TiGo kuna MINI KABANG, Xtreme Park na KABANG nazo zina makato tofauti
- Umalizapo Bundle watakutaarifu na ukichelewa km kuna hela watakata na kukuzawadia 10Mb
- Usioishtuka watakata hela iliyobaki tofauti km ungenunua Bundle
Ninachokataa TiGo si majambazi, ni wewe tu hukujua km kuna kuDownload na kuperuziSijui kama umeelewa nilicholalamika zaidi naona umeingilia kazi ya kunitangazia vifurushi kazi ambayo wanaifanya kwa kunitumia sms za hayo matangazo kila saa mpaka kero soma uelewe sio unakurupuka
Usihame Tigo kwani sio MajambaziCha ajabu hizo mb 10 walizonipa ninaperuzi mpaka sasa 20 bado nina mb 8 yani nimetumia mb 2 tu
Huu ni wizi zaidi ya ujambazi
si ulikuwa unaisifia na vifurush vyake
Ninachokataa TiGo si majambazi, ni wewe tu hukujua km kuna kuDownload na kuperuzi
Mm sio mtabiri lakini umetuletea malalamiko kwani sisi TiGo
umesema unaperuzi 10Mb mpaka sasa 20 ni kwamba bado upo Jamii Forums au facebook
lkn Download chochote Mb zote zitayeyuka
Usihame Tigo kwani sio Majambazi
Ninachokataa TiGo si majambazi, ni wewe tu hukujua km kuna kuDownload na kuperuzi
Mm sio mtabiri lakini umetuletea malalamiko kwani sisi TiGo
umesema unaperuzi 10Mb mpaka sasa 20 ni kwamba bado upo Jamii Forums au facebook
lkn Download chochote Mb zote zitayeyuka
Usihame Tigo kwani sio Majambazi
"Mpaka sasa 20" hii nini sasa fyuuuuuuu
Post zako zote za kwako, naona hujui unachokiandika na kuulizaNilikua naperuzi jf sindio inaingia sms saa 16:47 ikiniambia nimebakiwa na mb 2? Hivyo nijiunge kifurushi kinachoniaa
Baada ya dk 2 yaani 16:49 inaingia sms nyingine baada ya dk 2 hiyo ikiniambia nimezawadiwa mb10 baada ya kutumia sh 500 kuperuzi haa! Si ndio nashangaa yani zile mb 2 zimeisha kwa dk 2 kuoeruzi jf? No
Cha ajabu hizo mb 10 walizonipa ninaperuzi mpaka sasa dk 20 bado nina mb 8 yani nimetumia mb 2 tu
Huu ni wizi zaidi ya ujambazi
Post zako zote za kwako, naona hujui unachokiandika na kuuliza
nachomaanisha TiGo si majambazi
kwa maswali zaidi ingia Google Tigo Tanzania
kuliko kuja kuchafua Makampuni ya watu humu
unapojiunga na kifurushi na kinapoisha wanakutumia msg kukutaarifu kifurushi kimekwisha. Sasa kama una salio kwenye simu, unachotakiwa kufanya ni:
1. Zima internet service.Hii inapatikana ktk settings»mobile networks»packet data.
2. Baada ya kuzima, kama unajiunga tena na kifurushi, fuata steps za kujiunga kama kawaida.
3. Washa tena internet service kwa kufuata step nilizoeleza namba (1)